Ibara ya 98 ta Katiba ambayo Imevunjwa na Mchakato wa Katiba Mpya!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
98.-(1) Bunge laweza kutunga Sheria kwa ajili ya kubadilisha
masharti yoyote ya Katiba hii kwa kufuata Kanuni zifuatazo:-
(a) Muswada wa Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti
yoyote ya Katiba hii (isipokuwa yale yanayohusika na
aya ya (b) ya ibara hii ndogo) au masharti yoyote ya
sheria yoyote iliyotajwa katika Orodha ya Kwanza
kwenye Nyongeza ya Pili utaungwa mkono kwa kura
za Wabunge ambao idadi yao haipungui theluthi mbili
ya Wabunge wote;

(b) Muswada wa Sheria kwa ajili ya kubadilisha masharti
yoyote ya Katiba hii au masharti yoyote ya Sheria
yoyote yanayohusika na jambo lolote kati ya mambo
yaliyotajwa katika Orodha ya Pili kwenye Nyongeza ya
Pili iliyoko mwishoni wa Katiba hii, utapitishwa tu
iwapo utaungwa mkono kwa kura za Wabunge ambao
idadi yao haipungui theluthi mbili ya Wabunge wote
kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili ya Wabunge
wote kutoka Tanzania Zanzibar.

(2) Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara ndogo
ya (1) kubadilisha masharti ya Katiba hii au masharti ya sheria
maana yake ifahamike kuwa ni pamoja na kurekebisha au
kusahihisha masharti haya au kufuta na kuweka masharti mengine
badala yake au kusisitiza au kubadilisha matumizi ya masharti
hayo.

SWALI BADO HALIJAJIBIWA: Ni ibara gani ya Katiba ya sasa inayoruhusu Katiba hii kufutwa na kuandikwa nyingine? Au ni wapi ambapo kuna chombo kilichopewa madaraka ya kuweza kuanzisha mchakato wa kufuta Katiba hii kama Bunge lilivyopewa madaraka ya kubadilisha vipengele na masharti ya katiba ya sasa?

Hiki kinachoitwa Bunge la Katiba kiko wapi kwenye Katiba ya Muungano? Neno lenyewe Bunge la Katiba halipo kwenye Katiba hii.
 
Jambo hili linakatisha tamaa .Mkuu MMKj nao watalamu wa sheria na mashabiki wa Katiba mpya wako kimya. Na hili linanipa mimi shida kama kweli tuko serious na kitu kinachoitwa Rasimu ya Katiba Mpya.

Ieleweke kuwa taratibu za kupata Katiba Mpya kama itashindwa kufuata taratibu za Kisheria/Kikatiba kwa mujibu wa Katiba iliyopo huko mbele ya safari hizi Kelele na ushabiki wote na hatua hizi zakukutana Ikulu na kupiga picha ,kunywa juice ni kupoteza pesa za walipa Kodi.

Nashauri wataalamu wa Sheria ebu mje humu mudadavue hii kitu!

Na jambo la muhimu na ambalo liko wazi sasa ni kwamba Mchakato huu umevunja Katiba na kwa mantiki hiyo Raisi amevunja Katiba aliyoapa kuilinda.

Mchungaji Mtikila natumai hili ataliona !

Mimi kwa uelewa wangu mdogo hoja hii ya Mzee Mwanakijiji pamoja na misimamo yake ya kutokukubaliana na Rasimu ya Katiba mpya lakini Kisheria taratibu iliyofikiwa kuanzisha Mchakato huu wa Katiba hauko sawa Kwa mujibu wa Ibara hizo tajwa hapo juu.

Na hili nadhani ndiko hoja ya MMkjj inakoelekea na kuhoji kwamba ni Ibara ipi ya Katiba iliyopo inayoipa/iliyoipa Mamlaka Ikulu/Raisi na Bunge kuleta Mchakato wa Rasimu ya Katiba mpya ambao mwisho wake kutakuwa na Bunge Maalumu la Katiba na ambayo litaweza /kwenda kupangua orodha tajwa hapo chini.

"I quickly read the press statement. I am afraid in my opinion it is
a very weak statement and in some cases simply not correct. On blatant
omission is on the very fundamental question which forms the heart of any
process of making a new constitution. This is the composition of the
Constituent Assembly. Currently the Constituent Assembly would be composed
of all the members of parliament, all members of Z'bar house of
Representatives and 116 other members drawn (presumably by the president)
from the named organisations. Whom are these people representing? First,
they have not been elected by the people for the specific purpose of passing
a new constitution - they were at best elected under the EXISTING
constitution - thus they do not have the mandate of the people to ADOPT a
NEW constitution. Secondly among them there is a significant number of
appointed members - almost 100. Thirdly, the large majority are from CCM.
Fourthly all, accept the 116 (among whom there may be party members we can't
tell) are POLITICAL PARTY members, but all Tanzanians for whom the new
constitution is being made are not all party members. In effect we are going
back to 1977 constituent assembly. This will be disastrous in my view.

Constituent Assembly ought to be an elected body where people as citizens
without any other qualifications elect their delegates with the special
mandate of adopting a new constitution. The Law Society statement totally
overlooks this - pity.
You may share this with others as you wish.

Am attaching my power point presentation which I made to the Parliamentary
Committee as well as in a public meeting on Saturday 12th"

- ISSA SHIVJI (Yahoo! Groups)
 
Articles 98 of the concomitant constitution clearly outlaws the on-going constitutional making process. hence, other arguments raised above have no practical relevance but may be of intellectual value when the process is inherently embedded in the current legal constitutional framework..........
 
what we are witnessing is legislative treason by our own A.G, the president and the Augusta house..............a court injunction seems to be a proper way to end this madness...........
 
From the infamaous Appeals Court decision of A.G v. Rev. Christopher Mtikila we can blithely soliloquize the following paragraphs:-

It is clear that the on-going constitutional amending process has offended Article 98 (1) and the High Court ought to be requested to strike out the law behind this constitutional anarchy before our very eyes...............
 
And unfortunately this is where I fail to understand why most of our Academicians turn down their brains and keep liars here and then to Tanzanians. This group include the so called Jukwaa la Katiba ,Issa Shviji and there fellows (Politicians)

I expected if this groups , if at all they are serious they should have taken step to challenge this process in Court of Law and out of that, issuing statements to something out of fact are of nonsense

From the infamaous Appeals Court decision of A.G v. Rev. Christopher Mtikila we can blithely soliloquize the following paragraphs:-

It is clear that the on-going constitutional amending process has offended Article 98 (1) and the High Court ought to be requested to strike out the law behind this constitutional anarchy before our very eyes...............
 
what we are witnessing is legislative treason by our own A.G, the president and the Augusta house..............a court injunction seems to be a proper way to end this madness...........

Not to only ends Madness but it should be a lesson to rest of Power greedy dude's
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, nani kaifuta katiba iliyopo?!.

Baada ya rais JK kuinitiate mabadiliko ya katiba, muswada uliletwa bungeni na ukatungiwa sheria. Ulipousoma ule muswada hadi sheria kuna popote une semaine katiba mpya au kuna popote umeifuta hii katiba iliyopo?!.

Nashauri rudi kidogo darasani kasome kuhusu constitution making process!.

This is the first time Watanzania tunapata Fursa ya kutunga katiba yetu in a manner never before imewahi kutokea!.

Japo hatutapata katiba bora, bali bora katiba!, something is better than nothing!, tuipokee hiyo bora katiba kisha ndio tutafute katiba bora.
Pasco.
 
"We don't need JK's Commission! It will disturb the process by being malicious to the process in favour of the ruling party....we need first of all to amend the current Constitution especially article 98. The amendment that shall allow formation of an independent commitee not emanating from JK or any president thereto. This commission shoul include representatives from all walks of life ranging from ordinary citizens, religious leaders, CSOs, politicians and political parties, legal experts etc in our country that will collect the views of the people...it is not possible to suspend a constitution in any society if there is no revolution by mass or military coup de tat. In peaceful mood as in Tanzania we cannot suspend the current constitution...mind you to suspend a current constitution in absence of military coup de tat or mass revolution like the ones in Egypt, Tunisia or elsewhere amount to treason which is one of the capital offences in our law. Even JK HAS NO POWER legally to suspend a constitution because he was sworn in to defend it no matter how bad it is...." - A Young Tanzanian Lawyer in a Constitutional Debate, March 2011
 
Mtake radhi Profesa Shivji, rejea haya maneno yake na i-google hiyo mada yake ipo mtandaoni:

"I quickly read the press statement. I am afraid in my opinion it is
a very weak statement and in some cases simply not correct. On blatant
omission is on the very fundamental question which forms the heart of any
process of making a new constitution. This is the composition of the
Constituent Assembly. Currently the Constituent Assembly would be composed
of all the members of parliament, all members of Z'bar house of
Representatives and 116 other members drawn (presumably by the president)
from the named organisations. Whom are these people representing? First,
they have not been elected by the people for the specific purpose of passing
a new constitution - they were at best elected under the EXISTING
constitution - thus they do not have the mandate of the people to ADOPT a
NEW constitution. Secondly among them there is a significant number of
appointed members - almost 100. Thirdly, the large majority are from CCM.
Fourthly all, accept the 116 (among whom there may be party members we can't
tell) are POLITICAL PARTY members, but all Tanzanians for whom the new
constitution is being made are not all party members. In effect we are going
back to 1977 constituent assembly. This will be disastrous in my view.

Constituent Assembly ought to be an elected body where people as citizens
without any other qualifications elect their delegates with the special
mandate of adopting a new constitution. The Law Society statement totally
overlooks this - pity.
You may share this with others as you wish.

Am attaching my power point presentation which I made to the Parliamentary
Committee as well as in a public meeting on Saturday 12th"

- ISSA SHIVJI (Yahoo! Groups)​
 
Mkuu mwanakijiji

Kwanza tukubaliane katiba iliyopo haijafutwa.

Nikweli katiba iliyopo haisemi nani wakuifuta ila inasema nani wa kuirekenisha,

Lakini tafsiri ya ibara hiyohiyo ya 98, inalipa bunge nguvu ya kuifuta
 
Kwa lipi .Kwa kuuzunguka mbuyu kama mganga kinyeji .Hakuna kitu kibaya kama mwasheria ku
toa maoni na ushauri kisiasa.
 
Pasco, nadhani unahitaji kurudi nyuma kujifunza mantiq (logic) kwa sababu inaonekana unataka watu wakubali uongo wakati ukweli uko wazi. Watanzania hawajapewa nafasi ya kuandika Katiba yao; siyo katika process hii wala ile nyingine. Safari hii nafasi hii ingetumiwa vizuri lakini mchakato umeburuzwa buruzwa na watu wameukumbatia kwa maana hiyo ya "something is better than nothing".

Mchakato huu wa sasa utaifuta Katiba hii it is as simple as that. Sheria waliyopitisha kusimamia mchakato huu inakinzana moja kwa moja na article 98 ya Katiba; Kikwete na wenzake waliapa kuilinda na kuihifadhi Katiba hii lakini sasa wameanzisha mchakato mwingine. NI sawasawa na mtu aliyeoa na ana ndoa halali halafu anaanza kutafuta mchakato wa mchumba mwingine hasa kama dini yake hairuhusu mke zaidi ya mmoja. Well, ni wazi basi kuwa kwa kutafuta mke mwingine huyu bwana hana mpango na mke wa sasa. Lakini kama ndoa ya sasa bado ni halali huyu ataweza vipi kuoa mke mwingine isipokuwa kufuata utaratibu wa kumuacha huyu wa sasa?

Nikisema kuwa ikipitishwa Katiba nyingine hii ya sasa bado itakuwa halali kuna mtu atabisha kuwa sivyo? Uhalali wa sasa hauondolewi kwa kuandika Katiba Mpya kwa sababu ya sasa haina utaratibu wa kuifuta!
 
Mkuu mwanakijiji

Kwanza tukubaliane katiba iliyopo haijafutwa.

Nikweli katiba iliyopo haisemi nani wakuifuta ila inasema nani wa kuirekenisha,

Lakini tafsiri ya ibara hiyohiyo ya 98, inalipa bunge nguvu ya kuifuta

Bunge haliwezi kuifuta Katiba ya sasa; linaweza kuifanyia marekebisho tu; kwani likiifuta na lenyewe itabidi livunjwe kwa sababu lipo kwa sababu ya Katiba hiyo! Hakuna namna ya kuifuta hii Katiba ya sasa period. Wanaweza kufanyia marekebisho vipengele na masharti yake mbalimbali kwa utaratibu ulioko kwenye Article 98; lakini hawawezi wakakaa Bungeni na ksuema "tunaifuta Katiba hii ili tuandike nyingine" kwa sababu waliapa kuilinda, kuitetea na kuhifadhi. Inashangaza sisi ambao hatukula viapo hivyo ndio tunaitetea Katiba hii!
 
Kwa lipi nimtake radhi labda kama hujaelewa hoja ya shivji nimepunguza kunukuu ilikuepuka kurudia rudia lakini naomba nirurejesha kwa hoja ya Ruta labda utaelewa nilichokuwa na maanisha!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…