Ibenge atua Morroco kujiunga na Rs Berkane yadaiwa yuko na Djuma Shabani

Ibenge atua Morroco kujiunga na Rs Berkane yadaiwa yuko na Djuma Shabani

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Mambo ni faya mambo ni motooo jameni, Florent Ibenge baada ya kujiuzulu kazi pale AS Vita katua kwenye mpunga mnene huko Morocco na inasemekana katika wachezaji alioingia nao hapo klabuni ni Djuma shabani.

Kama habari ya Shabani itakuwa kweli itabidi Wallace karia ajiuzulu maana TFF wameizidi kuionea yanga na kuhakikisha haipati wachezaji wazuri na hata mitambo ya mabao ikitua yanga huwa inafanyiwa fitina za waziwazi kabisa kama vile mitambo hiyo ya mabao kulogwa bila shirikisho kuchukua hatua stahiki au team ndogondogo kuikamia yanga baada ya kuahidiwa kiasi cha fedha na team fulanifulani

ibeee.PNG

fulanifulani
 
Habari za uhakika toka huko kwa nchi ya kifalme morocco ni kwamba muda wowote Djuma shabani atatambulishwa kama mchezaji wa rs berkane yeye na kocha ibenge
 
chizi maarifa anasemaje yeye je hili suala ni haki kweli
 
Kama ni ivyo kwa Dhuma Shabani basi lawama zote kwa tff badala ya lawama apewe Eng aliyewaaaminisha wanaYanga
 
Kama ni ivyo kwa Dhuma Shabani basi lawama zote kwa tff badala ya lawama apewe Eng aliyewaaaminisha wanaYanga
Tff imeshindwa hata kuilinda mitambo ya magoli iliyoko yanga ikifika tu nchini inalogwa na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na karia
 
yaani kama ni kweli utawaka motooo na injinia anawapatia kweli haya majamaa yakaambiwa imelipwa bilioni moja kwa as vita na bilioni 5 kwa kaizer chiefs kwa ajili ya kambole, duh
mtoto wakiume na kanga wapi na wapi?
 
mtoto wakiume na kanga wapi na wapi?
Tff wanavyowafanyia hapo kidimbwini siyo fair kabisa...sasa hiyo dollar 500,000 ya kumunua Djuma shabani itarudishwa au? ongezeni ifike dollar milioni 10 tuwaachie miqquisone
 
Back
Top Bottom