Ibenge, Mwinyi Zahera kutimuliwa team ya Congo baada ya AFCON

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ibenge na wasaidizi wake wamepewa jukumu la kuhakikisha congo wnaachukua ubingwa wa AFCON kitu ambacho ni impossible hata yeye kakiri ni ngumu so baada ya afcon tutarajie zahera tofauti wa yanga maana sasa hivi ka relax akijua mshahara wa team ya taifa kila mwezi unasoma,ole wenu mumcheleweshee kuanzia mwezi wa nane

Home Football DR Congo Ibenge coach asked to win 2019 AFCON or resign
DR Congo Ibenge coach asked to win 2019 AFCON or resign

DR Congo coach Florent Ibenge has been handed a four-month extension and tasked with winning the 2019 Africa Cup of Nations in Egypt or be axed from the job.

The 57-year-old coach, who also manages local top-flight Vita Club, had been criticised by the country’s football officials and fans for the ‘lack of progress’ of the national team.

However, the qualification to the upcoming AFCON doused the pressure on the coach but that could only be temporary.
“We have decided to give Mr Ibenge and his collaborators a four-month extension with the objective of winning the 2019 AFCON. If the objective is not met, we would unfortunately part ways with the coach and his staff,” Barthelemey Okito, secretary of the ministry of sports said on Tuesday.
Ibenge responded moments later, describing the objective as ‘too high’, considering the quality of the players in his current team.

“With the quality of players we have, how do we work with such objective? It’s not fair to put such high pressure on the players. We will go to Egypt and do our best,” he said.
 
Zahera kakufanyia nini
 
facts checking..nachukia uongo wake na tabia zake za kipuuzipuuzi za uongo na majivuno ya kijinga,bado threads nyingine zinakuja leo za kutosha tu. Brace yourself
 
Kweny mpira lolote laweza tokea! Inaonekana wewe sio mwanasoccer! Mfano game ya Liverpool na Barcelona, 200% walijua Barcelona wanaenda final but ikawa kinyume
agh wapi Ibenge mwenyewe kakuambia ni mission impossible.mwezi wa nane msimcheleweshee mshahara iel kazi ya kule atakuwa hana tena
 
Duh,watu mpo deep..! Yaani Zahera anakula dabo salare..! Yaani salare moja ikiisha basi mtafutano utaanzia hapo..! Kazi ipo.
 
Duh,watu mpo deep..! Yaani Zahera anakula dabo salare..! Yaani salare moja ikiisha basi mtafutano utaanzia hapo..! Kazi ipo.
hata boss wake Ibenge naye anakula mishahara miwili national team na As Vita kitu kinachowakera sana wacongo,wanaona yeye na msaidizi wake zahera hawapo serious na kazi zao mbilimbili.Huyu zahera kutwa kuikandia simba kwamba inafanya figisu lakini Ibenge alipokuja hapa na As vita alimu acknowledge kocha wa simba akamsifia na kwamba walisoma wote mafunzo ya ukocha kuko ufaransa
 
We waache TU. Zahera atawabeba mwisho atachoka. Wenyewe wanajisifu kocha uwa anawalipia wachezaji nauli za ndege.
 
We waache TU. Zahera atawabeba mwisho atachoka. Wenyewe wanajisifu kocha uwa anawalipia wachezaji nauli za ndege.
huwezi amini hayo maneno hata mtaani wanaamini hivyo,nasubiri kwa hamu mwezi wa nane atakavyowabadilikia
 
huwezi amini hayo maneno hata mtaani wanaamini hivyo,nasubiri kwa hamu mwezi wa nane atakavyowabadilikia
Haya Ndio matatizo makuu ya wabongo kumuombea mabaya mwenzako na wivu usio wa msingi. Hapa Ndipo tunapofeli. Badala ya kufanyia kazi mambo ya msingi kwenye soka letu tunaishia kudiscuss watu na kuwaombea mabaya.
 
umuombee mazuri mtu ambaye mkishinda hakosi gubu hadi kwenda congo kupakazia simba wanaopuliza sumu vyumbani?zahera is a comedian and a liar
 
We mmbeya utaolewa wewe
mmbeya hana shidsa anafikisha taarifa za kweli,shida ni muongo kujifanya tajiri mwenye cv kubwa ulaya kumbe alifundisha team ya daraja la tatu ubelgiji na vi team vya conference huko france
 
mmbeya hana shidsa anafikisha taarifa za kweli,shida ni muongo kujifanya tajiri mwenye cv kubwa ulaya kumbe alifundisha team ya daraja la tatu ubelgiji na vi team vya conference huko france
Si bora yeye . Always there's next time alifundisha watoto wa miaka mitano
 
Kamchokonoa pale nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…