Tetesi: Ibenge na Azam Fc mambo safi, Bado kutambulishwa tu

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Transfer News Live👇👇

Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC.

Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya Rachid Taoussi yamefika mwisho ndani ya Azam✍️

Ibenge aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba Dili ambalo ilishindikana na Simba kumchukua Fadlu Davis.
 
Hamna kocha hapo, hamalizi msimu anaondoka
 
Azam naye hana tofauti na wale wahuni wa jangwani na msimbazi wanaowafanyia upuuzi wadanganyika watakavyo ili kutimiza azma za kisiasa.


cc
CAPO DELGADO
 
Angekuja LUNYASI mikia FC ingependeza zaidi.
 
Tatzo la Azam halijawah kuwa kocha, wawatoe wabongo wote kweny nafas za uongoz hadi mfanya usafi awe mgeni watafanikiwa la sivo hakuna jipya watapata kwasasa wanachofanya ni sawa na kujitia dole halaf unanusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…