Ibilisi wa ngono safarini..

Mimi nabahati sana ya kukaa na warembo ila naona huwa nawaboa sana maana sinaga shobo nao ni kimya simu yangu ina vitabu kama 350 na ushee huwa ni kusoma mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi Kukutana na Jini Mwendokasi Pale Morocco!
 
Aah mie nilisafiri na mdada pembeni yangu mwaka juzi Arusha -Mbeya aisee mpaka tunafika Dodoma ni kama tnajuana miaka 5.Ohooo nimekuja kujua kazi yake juzi ni siri yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani namimi nipate manzi wa namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana Waislamu huweka uzio misikitini ili kutenganisha upande wa kina mama na kina baba ili kuepusha huyo pepo wa ngono,

Huyo Ibilisi anayo nguvu kubwa "mnapokaribiana" mwanamke na mwanaume na hilo Mungu ametahadharisha ndani ya Qur'an kwamba " msikaribie zinaa hakika hivyo ni vitendo vichafu----".

Tatizo nchi yetu haina dini lakini yenye watu wa dini mbalimbali, kama nchi yetu ingekuwa inafuata dini ya kiislamu basi ndani ya public transport kungekuwa na viti "separate" kwa jinsia tofauti.

Kwa hivi sasa ili mtu ajiepushe na hiyo kadhia pindi inapomkuta basi ajipige moyo konde na aombe kinga (dua ya istighfar) kutoka kwa Mungu ili ajiepushe na huyo ibilisi wa ngono.

That's my take and I stand to be corrected.
 
utakutana na majini mkuu wanakuwepo sana kwenye mabasi
Kwani jini kitu gani bana wewe muoga sana, jini lenyewe unaligonga nyapu ya buree kabisa na hiyo halihitaji hela,na tena yanakuwaga matamu sana kimsuguano ila sasa ni sawa na kula nyama ya mtu hutoacha na usipendepende vimada wana wivu sana, wee si jaribu tu vinginevyo you will never knows till you have tried. unaweza ukazaa nalo. vitoto bomba kabisa ila sasa utaviona na kucheza navyo usiku tuu. hata hapo ulipo ukitaka waweza rushiwa moja kama ukipendwa, yanaona mbali yale we acha tu.
 
Siyo udhaifu wanawake wanatupenda sana sisi vidume. na huruma zao pia dhidi yetu.mimi huwaga sitongozi mwanamke. sikuamini nilipotongozwa na mke wa boss wangu. nikaoa kabisaa kisiri. dada yangu pia kabisaa nikafanya jamani, tena ananitafuta yeye basi,japo nilikuwa namkwepa. kukomesha hilo nikahama nyumbani. lakini bado tu anasingizia naenda muona kaka ajabu hakuna anaye jua mpaka leo. hasahasa kama siyo cha upepo utawapata wengi sana
 
Sijaelewa hapo kwa Dada yako kabisa?inamana unamkaza Dada yako wa kuzaliwa nae kabisa?hebu tueleze vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi huwa nakutana na wamama wanaosafiri na watoto so huwa naishia kuwasaidia kupakata watoto
Hilo balaa nilikutana nalo mwaka fulani.Nilipakata mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari.Tukafika usiku sana Mwanza.Ikabidi tuchukue vyumba viwili,changu na cha bibie mwenye mtoto.Na kulipa nililipa mwenyewe.Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…