Obuntu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 510 Reaction score 34 Dec 14, 2010 #1 Wanajamii, Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam. Natanguliza shukrani Obuntu
Wanajamii, Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza kupata msaaada wa matengenezo ya vifaa vy IBM (servers, printers, desktops, laptops) hapa jijini Dar es Salaam. Natanguliza shukrani Obuntu