Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Habari wakuu,
Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali.
Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana, waandaaji na Azam media kwa promo iliyojenga hamasa kwa wengi, nikiwepo mimi.