Ibra classic vs Mmalawi ilikuwa ni bonge la mechi

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
917
Reaction score
1,093
Habari wakuu,

Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali.

Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana, waandaaji na Azam media kwa promo iliyojenga hamasa kwa wengi, nikiwepo mimi.
 
Kweli kabisa......dogo anatupa mawe balaa.
 

Kabisa Mkuu, na isitoshe uwekezaji unaohitajika kwenye Ngumi ni mdogo kuliko unaohitajika kwenye mpira.
 
Sasa si mtupe matokeo sisi ambao hatukufuatilia hilo pambano kutokana na sababu mbalimbali na zilizo nje ya uwezo wetu!!!
 

Katika mchezo ambao wabongo tunauweza na kuumudu kwa kiwango cha hali ya juu ni boxing ila changamoto ipo kwa viongozi hawautilii maanani huu mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…