ibra da hustla

ibra da hustla

kimyazo

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
19
Reaction score
4
hivi yuko wapi ibra da hustla wa nako 2 nako soldiers?, kakimya sana na mwenzake lord eyes
 
kawa mteja kwisha habari yake tamasha la hip hop lilioandaliwa na MJ radio Arusha mwishon mwa mwaka 2012 alikuwepo ila cocktail imemmaliza huyo ashapotea kwenye ramani ya muziki
 
ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y
 
ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y
Mmmmmh!! Mbona nahisi kama wewe ndio umemix Bange na Kiroba Original??!! Hujaeleweka ulichokiandika
 
Back
Top Bottom