PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu