πππππ Umehit mule mule yaaniDogo bosi wake ndiye anaye mrudisha nyuma,hawana ratiba ya kuachia nyimbo wala kuzifanyia promo. Dogo dogo akiachia nyimbo moja boss anaachia tatu,mara akisikia huku boss wa zamani wake kaachia nyimbo anachia album,msanii wake akitoa album nae anatoa album. Nyimbo hazipewi nafasi wala airtime ya kutosha,dogo sasa hivi hata Phina wa juzi kampita.
Label inaongozwa kisela na kibangebange na si kibiashara, dogo mpaka sasa bado yupo level za msanii chipukizi.
YA NGOSWE.....Mambo yao tuwaachie wenyewe.
Dead truth.Dogo bosi wake ndiye anaye mrudisha nyuma,hawana ratiba ya kuachia nyimbo wala kuzifanyia promo. Dogo dogo akiachia nyimbo moja boss anaachia tatu,mara akisikia huku boss wa zamani wake kaachia nyimbo anachia album,msanii wake akitoa album nae anatoa album. Nyimbo hazipewi nafasi wala airtime ya kutosha,dogo sasa hivi hata Phina wa juzi kampita.
Label inaongozwa kisela na kibangebange na si kibiashara, dogo mpaka sasa bado yupo level za msanii chipukizi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Amani ataitoa wapi wakati Bosi mwenyewe mshamba .. juzi alikuwa anatamba kumlipia kajala milioni 20 ya kumalizia deni la gari... hata we ungekuwa Ibra lazima utalengwa lengwa na machozi!