Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
mac voice ni wa zamani sana tu sema ametusua hapo kwa rayvany kaanza kuimba muda alikuwa anajiita maka voiceMc voice
si mpaka utajiwe kado kitengoDaaah kweli atakua chipukizi yani hata simjui, kafanya hit song gani?
Mc voice ni msanii mpya? Kweli nimeamini mashabiki wa dabliyusibii si wafuatiliaji wa mzikiMc voice
Hata mimi nimeshangaa eti ni chipukizi 😀😀Mc voice ni msanii mpya? Kweli nimeamini mashabiki wa dabliyusibii si wafuatiliaji wa mziki
Huyo Gwamaka alikuwa kwa Chege tangu 2018 huko, ndiye aliyefanya cover ya kiswahili ya ule wimbo wa Teamo
Mac voice ni kijeba sio chipukizi bwana kupe..MACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
Tuwaambie mara ngapi? Gwamaka Maka voice Mc voice kwenye game ana miaka mitano na zaidi! Dablyusibii jitahidini kufuatilia mziki hata kidogo basiMACVOICE ni namba moja ...coz kaibuka mwezi mmoja na kuwa nominated kwenye tuzo as best upcoming artist......wakat ibra now ana miaka miwili hajawahi hata kuwa nominated in HBABA AWARDS
Aseeh kweli kila mtu na masikio yake.Ibra ana hit song gani mkuu? hana nyimbo yoyote kali ukiacha one night na harmo.
Hao kwao wasanii ni wale ambao wapo WCB, nje ya hapo watawajulia wapi wasanii kama hawa!Hata mimi nimeshangaa eti ni chipukizi 😀😀
Maka alifanyaga ile cover ya kiswahili ya teamo, pia nakumbuka chege kaimba nae nyimbo nyingi tu, ndio rayvanny akamchukua sasa mpaka leo atakuwaje chipukizi?Hao kwao wasanii ni wale ambao wapo WCB, nje ya hapo watawajulia wapi wasanii kama hawa!
Ibrah ni new comer????? How....... wakati mwakani mwezi wa nne mwakani anatimiza miaka miwili kwenye game.habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,
Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka huu.
Ana nyimbo nyingi hits kuliko wengine
Je yupi msanii wako bora chipukizi?
Ni sawa pia vizuri lakini kwa Mimi ninaona ni ibrah mpaka atimize miaka miwili ndio tutahesabu tayari sio underground..Ibrah ni new comer????? How....... wakati mwakani mwezi wa nne mwakani anatimiza miaka miwili kwenye game.
Msanii bora mpya kwa mwaka huu ni Lord Music.
Sasa kama Ibraah akiwa best new comer Zuchu nae utamweka wapi? Manake Zuchu na Ibraah wametoka ndani ya mwezi mmoja tofauti siku.Ni sawa pia vizuri lakini kwa Mimi ninaona ni ibrah mpaka atimize miaka miwili ndio tutahesabu tayari sio underground..
Lody Music amekaza
Kayumba yupo kwenye game tangu 2016kayumba