ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Leo nimechukua muda wa masaa matatu kuisikiliza nyimbo Mpya ya uyu IBRAH wa KONDE GANG ambayo inaitwa nipende
Uyu dogo ana kipaji Cha Hali ya juu na Ni fundi wa kuimba staili na mitindo mbalimbali kwa kweli dogo anajua màana waswahili wanasema mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni IBRAH Ni fundi Sana wa kuimba na ana sauti nzuri Sana
Pili anajua kuyatamka maneno yote vizuri kitu kinachofanya msikilizaji aweze kuisikiliza vizuri wimbo wake na kuuelewa bila kificho kwa kweli hapa HARMONIZE alitumia jicho la tatu kumchukua uyu dogo hii Ni pontial kubwa Sana ijayo ya KONDE GANG no suala la muda tu lakini IBRAH atakuja kutikisa Sana Sana na atakuwa big artist na amini pesa anayoitumia HARMONIZE kwa uyu dogo itakuja kurudi ata Mara tatu yake màana dogo ana uwezo makubwa Sana wa kutunga kuandika na kuimba alafu pia Ni mkali Sana wa kuchangia melody big up IBRAH CHINGA
Wabongo tuache unafiki mtu anapofanya vizuri tumsifie Sio eti kisa wewe Ni timu fulani Basi ndo ata mtu asiye kwenye timu Yako afanye vizuri kiasi gani huwezi kumsifia hii so dawa.