Ibrah wa Konde Gang anaimba sana huyu dogo

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Leo nimechukua muda wa masaa matatu kuisikiliza nyimbo Mpya ya uyu IBRAH wa KONDE GANG ambayo inaitwa nipende

Uyu dogo ana kipaji Cha Hali ya juu na Ni fundi wa kuimba staili na mitindo mbalimbali kwa kweli dogo anajua màana waswahili wanasema mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni IBRAH Ni fundi Sana wa kuimba na ana sauti nzuri Sana

Pili anajua kuyatamka maneno yote vizuri kitu kinachofanya msikilizaji aweze kuisikiliza vizuri wimbo wake na kuuelewa bila kificho kwa kweli hapa HARMONIZE alitumia jicho la tatu kumchukua uyu dogo hii Ni pontial kubwa Sana ijayo ya KONDE GANG no suala la muda tu lakini IBRAH atakuja kutikisa Sana Sana na atakuwa big artist na amini pesa anayoitumia HARMONIZE kwa uyu dogo itakuja kurudi ata Mara tatu yake màana dogo ana uwezo makubwa Sana wa kutunga kuandika na kuimba alafu pia Ni mkali Sana wa kuchangia melody big up IBRAH CHINGA

Wabongo tuache unafiki mtu anapofanya vizuri tumsifie Sio eti kisa wewe Ni timu fulani Basi ndo ata mtu asiye kwenye timu Yako afanye vizuri kiasi gani huwezi kumsifia hii so dawa.
 
I kweli. Tena anaimba bongo fleva kabisa.

Ni kama wanavyoimba K2ga, cheed na Killy.

Ila kwa trend ya Muziki ilivyo akipifwa pressure kidogo tu, ataanza kuimba mashikolo mageni.
 
I kweli. Tena anaimba bongo fleva kabisa.

Ni kama wanavyoimba K2ga, cheed na Killy.

Ila kwa trend ya Muziki ilivyo akipifwa pressure kidogo tu, ataanza kuimba mashikolo mageni.
Yego mkaruka
 
Nitachelewa 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Msalimie jabulan na mzee wa mchachambo. Ila tuseme ukweli jina konde gang lina sound kihuni sana. Kwa kiswahili kisicho rasmi twaweza kusema ni genge la kimakonde dah.
Genge la kimakonde lina madhara ganai ama Lina ubaya gani mkuu emu tuambie ubaya wa genge la kimakonde boss
 
Genge la kimakonde lina madhara ganai ama Lina ubaya gani mkuu emu tuambie ubaya wa genge la kimakonde boss
Nadhani hakutafiti vyema kuhusu matumizi ya gang. Yes linaweza kuwa na maana wa mkusangiko wa marafiki waendao pamoja wakiwa na malengo na madhununi yanayofanana ila kiuhalisia ukitafuta mifano inayohusishwa na neno gang au genge utakuta mifano inayokuja ni ya makundi ya kihalifu
Genge la wahuni
Genge la wahalifu
Genge la vibaka
Genge la majangili n.k

Hata kwa wanamuziki wa nje waliotumia neno gang makundi yao hayakudumu ama hayakukua na kuwa makundi makubwa yaliyotisha kimuziki
 
Msalimie jabulan na mzee wa mchachambo. Ila tuseme ukweli jina konde gang lina sound kihuni sana. Kwa kiswahili kisicho rasmi twaweza kusema ni genge la kimakonde dah.
Alafu genge huwa linatafsiriwa kama kundi la wavuta bangi🤣🤣🤣🤣 hapa harmo mwenyewe anavuta ile mifegi 🤣🤣
 
Alafu genge huwa linatafsiriwa kama kundi la wavuta bangi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa harmo mwenyewe anavuta ile mifegi [emoji1787][emoji1787]
Akili ndogo Sana aseee daaah!!
 
Dogo nyimbo zote analia Lia tuu , hapishani na Aslaya , Bora marioo kidog hubadirika ..... Hao madogo hawana upeo mkubwa wa utunzi , style Yao ni hyo tuuu
Ukisikia mchawi usiulize Ni yupi
 
Kabisa IBRAH yuko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…