Ibrah wa Konde Gang anaimba sana huyu dogo

Nitachelewa bonge la songi..

Mainstream media zinacheza ngoma za hovyo hovyo tu za mpelekee moto,pwaah na kuacha kuupa airtime muziki mzuri..
Hiyo mpelekee Moto imeimbwa na Nani? Nimeona Inatajwatajwa Sana
 
Jina la label halijakaa poa hii pia inamcost Sana kutopata wasikilizaji wengi
 
Wimbo wake wa nitachelewa Ni 🔥🔥🔥
 
Ushaachwa,pole
 
Dogo nyimbo zote analia Lia tuu , hapishani na Aslaya , Bora marioo kidog hubadirika ..... Hao madogo hawana upeo mkubwa wa utunzi , style Yao ni hyo tuuu
One night stand vipi?

Wengine wamemkubali sio lazima umkubali wewe kamskilize zuchu inatosha
 
One night stand vipi?

Wengine wamemkubali sio lazima umkubali wewe kamskilize zuchu inatosha
We huoni namba zake zilianzia juu now zinashuka chini hujiulizi Tu kuna shida sehemu we Muarusha vip ...
 
We huoni namba zake zilianzia juu now zinashuka chini hujiulizi Tu kuna shida sehemu we Muarusha vip ...
Channel yake ya mwanzo ilifungiwa ndo maana kaanza upya sasa ulitaka iwe vipi mzee?

Kila msanii ana target kariba Fulani imsikie huwezi kueleweka na wote mmojawapo wewe
 
Channel yake ya mwanzo ilifungiwa ndo maana kaanza upya sasa ulitaka iwe vipi mzee?

Kila msanii ana target kariba Fulani imsikie huwezi kueleweka na wote mmojawapo wewe
Soko na mda (Time) vitajibu Kwa ufasaha hii hoja
 
1:Mpelekee Moto by Baddest47
2😛waaah by Baddest 47 X Whozu
3:Shobo by RJ the DJ ft Mabantu
4:Nawakera by Mabantu
5:Aaah wapi Whozu ft Baddest47
6:Bado sana by Lavalava ft Diamond
7:Shusha by Mama levo ft Diamond
8:Wozah by Rayvanny ft Diamond
Hizi nyimbo ni Useless sana but zina'bang kinyax man
Nitachelewa bonge la songi..

Mainstream media zinacheza ngoma za hovyo hovyo tu za mpelekee moto,pwaah na kuacha kuupa airtime muziki mzuri..
 
Anajua kuimba ila hayupo sehemu sahihi na kutoboa sidhani ndo maana hapigwi sana, mimi sio shabiki yake sana ila hii nyimbo mpya nimeikubali sana tatizo haitofika kokote Harmo hawezi kumanage kabisa msanii wake anatoa nyimbo nae anatoa kiki anamfunika Ibrah atasubiri sana kufika anapotaka chini ya jamaa.
 
Kwanini unasema useless nawakati hizo ni strategic release hazijaimbwa kwa bahati mbaya ni watu wanaojua flexibility ya soko na wakaendana nayo.
 
Nimekubali bonge moja nyimbo kutoka kwa huyu mtoto
 
hao wanao imba ujinga wao wameisha achana na sanaa kitambo tu wakaamua kufanya muziki pekee maana sanaa haina fedha, kina ibrah wao bado wanafanya sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…