Ibrahim Ajibu wa Simba jaman

Heshima yako mkuu
PENDA SANA SIMBA SPORT CLUB
SIMBA 4G
 
naona kimya kwel. tupo na fundi ajib hapa anajiandaa na gem ijayo
 
Yale Majaribio yake kule Misri vipi Yaliendaje?

Mbona kuna vijana huku mtaani wanapiga outer sana,ndio maana hawa wachezaji wetu wanaishia Tandale kitu kidogo tunawasifu mpakaa.
Subiri uone gemu ijayo...
 
Hivi Ajibu amewahi kufikisha magoli kumi?yule kichuya kawa super sub..mikia mna hali ngumu
 
Yale Majaribio yake kule Misri vipi Yaliendaje?

Mbona kuna vijana huku mtaani wanapiga outer sana,ndio maana hawa wachezaji wetu wanaishia Tandale kitu kidogo tunawasifu mpakaa.
Subiri uone gemu ijayo...
mtimanyongo huu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…