SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.
Najua mechi imeisha na goli haliwezi kukataliwa tena ila kitendo chake cha kushangilia na kuact kama amefunga goli halali kunamuondolea uhalali wa kupata tuzo ya mchezaji bora. Amekosa spirit ya fair play ambayo ni moja ya misingi ya football.