Goli lilionekana wazi la mkono bila hata picha ya marejeo sema waamuzi wetu ni mashabiki piaNitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.
Najua mechi imeisha na goli haliwezi kukataliwa tena ila kitendo chake cha kushangilia na kuact kama amefunga goli halali kunamuondolea uhalali wa kupata tuzo ya mchezaji bora. Amekosa spirit ya fair play ambayo ni moja ya misingi ya football.
Wamepata ushindi haramu? Unajielewa kweli wewe mbumbumbu? Goli Moja la mkono linaathiri vipi magoli 3 mengine yaliyofungwa? Malalamiko yameanza huu ni mwanzo tu mtanyooka!amefanya uhuni mkubwa sana, ni aibu kwa Timu mkubwa kama ya yanga.
Anapaswa atoke hadharani na aombe radhi kwa ufanganyifu alioufanya.
Yanga wamejidhalalisha, wamepata ushindi haramu.
Hata kufungwa mara nne mfululizo mmeiga piaWanajaribu tufanane nao, tukifunga 5 wanataka nao wazipate matokeo yake ndiyo haya sasa
Hii ndio mlio nliko kua nmemis kuisikiaamefanya uhuni mkubwa sana, ni aibu kwa Timu mkubwa kama ya yanga.
Anapaswa atoke hadharani na aombe radhi kwa ufanganyifu alioufanya.
Yanga wamejidhalalisha, wamepata ushindi haramu.
Hatimae vilio vimeanza kulejea taratibuNitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.
Najua mechi imeisha na goli haliwezi kukataliwa tena ila kitendo chake cha kushangilia na kuact kama amefunga goli halali kunamuondolea uhalali wa kupata tuzo ya mchezaji bora. Amekosa spirit ya fair play ambayo ni moja ya misingi ya football.
Ila si kweli goli la mkono mtani ,nilikaa na shabiki wa Utopolo Pro namwambia goli la mkono akaniambia refa mbona kaweka kati nikamwambia yule ni binadamu pia hajakosea yaani mzee ka mind kabisa amekazana kuniambia wewe ndio unaona vizuri kuliko refa nikakaa kimya kuangalia game ya chelsea ,nikakumbuka usemi wa Albino na ningeropoka tu ingekuwa ugomviTafuta kazi kijana kuuonea wivu bacca hakutokuletea ugali mezani.
Usiwe na haraka magoli halali tutawafunga nyieIla si kweli goli la mkono mtani ,nilikaa na shabiki wa Utopolo Pro namwambia goli la mkono akaniambia refa mbona kaweka kati nikamwambia yule ni binadamu pia hajakosea yaani mzee ka mind kabisa amekazana kuniambia wewe ndio unaona vizuri kuliko refa nikakaa kimya kuangalia game ya chelsea ,nikakumbuka usemi wa Albino na ningeropoka tu ingekuwa ugomvi
we kweli ukikaidi utapigwa2 goli la mkono kabisaa sema nini mlitaka mfunge 5 kama ubaya ubwelaaaUsiwe na haraka magoli halali tutawafunga nyie
usiwe na wasi wasi; nimemnyang'anya mimi kwa mkono wangu na kuikimbiza kwa Ateba. Bacca hana tuzo tena, inamilikiwa na Ateba.Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.