Ibrahim Bacca apewe maua yake

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Bamako πŸ‡²πŸ‡±
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 1 - 0 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡© - (A)
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Rivers πŸ‡³πŸ‡¬ - (A)
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 0 - 0 Rivers πŸ‡³πŸ‡¬

00 - Magoli ya kufungwa. Rivers katika mechi zote (2) hawajapiga shot on target (0).

Mechi ambazo Ibrahim Bacca hakucheza kuanzia group stage CAFCC

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 0 - 2 Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³ - (A)
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 3 - 1 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 1 - 1 Bamako πŸ‡²πŸ‡± - (A)

04 - Magoli ya kufungwa

Mechi zote za Yanga msimu huu CAF hadi walipofika nusu fainali.

01. βœ… Yanga 4 - 0 Zalan πŸ‡ΈπŸ‡Έ - (A)
02. βœ… Yanga 5 - 0 Zalan πŸ‡ΈπŸ‡Έ
03. 🀝 Yanga 1 - 1 Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©
04. ❎ Yanga 0 - 1 Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡© - (A)

05. 🀝 Yanga 0 - 0 Africain πŸ‡ΉπŸ‡³
06. βœ… Yanga 1 - 0 Africain πŸ‡ΉπŸ‡³ - (A)

07. ❎ Yanga 0 - 2 Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³ - (A)
08. βœ… Yanga 3 - 1 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©
09. 🀝 Yanga 1 - 1 Bamako πŸ‡²πŸ‡± - (A)
10. βœ… Yanga 2 - 0 Bamako πŸ‡²πŸ‡±
11. βœ… Yanga 2 - 0 Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³
12. βœ… Yanga 1 - 0 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡© - (A)

13. βœ… Yanga 2 - 0 Rivers πŸ‡³πŸ‡¬ - (A)
14. 🀝 Yanga 0 - 0 Rivers πŸ‡³πŸ‡¬

NB ; Tangu Bacca aanze kucheza CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! πŸ€”..

... Yanga hajapoteza nyumbani β˜‘οΈ
 
Natamani ianzishwe ligi ya tackling Kati ya Baka na Bacca.
 
Wala hujakosea dogo analeta amani sana akiwa ndani ya uwanja Jana naangalia mechi nikamwambia mtu kitu kingine kwa Bacca ni hatengenezi foul hovyo hovyo
 
Nimewahi fasta nikajua ni BACCA wa spartacus
 
Mzanzibari Mgumu.
Tumpe sio maua tu akitaka hata Mke tumtaftie kule kwa makolo tumpe
 
Uzuri wa Bacca pia hachezi faulo za kisengesenge
 
Mzanzibari Mgumu.
Tumpe sio maua tu akitaka hata Mke tumtaftie kule kwa makolo tumpe
Huyo ni Mpemba . Sio Mzanzibari. Wazanzibari ni hao akina Feisal, Mohammed Issa "Banka" , Abdulaziz Makame na Said Juma Makapu.
 
Mimi ni Simba lakini pale yanga imelamba Dume.

# MSIJE MKATHUBUTU KUMLINGANISHA NA INONGA.

KWA INONGA BADO SANA....
AJITAFUTE MALA 100
 
Mimi ni Simba lakini pale yanga imelamba Dume.

# MSIJE MKATHUBUTU KUMLINGANISHA NA INONGA.

KWA INONGA BADO SANA....
AJITAFUTE MALA 100
Hujui mpira mkuu,shabikia rede tu.yaani baka wa kufananisha na inonga kweli???dah wakuu mna dharau sana.
 
Mpaka leo hata sielewi kocha wa Yanga alikula maharage ya wapi kwenye mechi na simba, kiasi cha kuamua kumuacha nje!

Kijana anastahili kabisa kupewa maua yake, mapema iwezekanavyo.
 
Kama ilitolewa kwa walio bora 10 afrika,basi ni kinyesi tu
Yanga ya sasa haijawahi kutokea katika nchi hii, hakuna timu iliyowahi kuwa na confidence on the pitch kama yanga tangu mpira wa nchi hii ulipoanzishwa, timu haisubiri uwanja wa nyumbani, ukilegea inakufunga hata kwako na mpira unapigiwa, kwenye ukweli tuseme ukweli jmn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…