Kwanza tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema na fadhila zake kwetu.
Pili shukrani iende kwa waandaaji wa mapambano mbalimbali.
Tatu ni kwa AZAM TV kwa kutuwezesha sisi tulio mbali na sehemu mapambano yanapofanyika kuona mbashara mapambano hayo.
Leo tarehe 29.01.2021 kulikuwa na Rumble in Dar, ukiacha mapambano ya wale wakina dada, ambayo yalikuwa ni armature . Pia pambano la Kilanga na Mlosi ambalo nalo halikuwa na principal za boxing. Pambano lililobeba siku nzima na ambalo lilikuwa lasubiriwa kwa khamu na ghamu ni baina ya The only and only magician of boxing in Tanzania, the champion of uzito wa unyoya, Ibrahim Class, the classic himself and king of the ring na Mmalawi, hakika lilibeba sana jina la Rumble in Dar. Ibrahim classic katika round zote 12 alionesha namna mchezo wa boxing unavyotakiwa kupigana. Mwisho ushindi wa Judges kwa anonymous nadhan haukuonesha namna alivyomchapa mwenzie. Kila round Class alikuwa na ngumi kama 5 kwa mbili za mpinzani wake. Pia kuna round kwa mfano round ya 3-9 mpinzani wake alikuwa na wakati mgumu sana wa kukubali mara kwa mara Upper cut, jabs na combination punches nyingi zaidi ya ngumi 100, Mmalawi alipigwa katika round hizo. Hakika Ibra Class ndiyo bondia anayefurahisha kutazama sasa Tanzania. Mayweather angekuwa katika ujana wake, ningekuwa na ndoto za hawa wawili kupambana, hakika lingekuwa moja la pambano tamu sana kuwahi kutokea ulimwenguni. Hongera king of unyoya weight, the Ibra himself Class. Nakutabiria makubwa sana kama tu utazidisha nidhamu katika maendeleo yako.