Ibrahim Class: Bondia mzuri Tanzania kwa sasa

BETONY

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
188
Reaction score
170
Kwanza tuanze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema na fadhila zake kwetu.
Pili shukrani iende kwa waandaaji wa mapambano mbalimbali.
Tatu ni kwa AZAM TV kwa kutuwezesha sisi tulio mbali na sehemu mapambano yanapofanyika kuona mbashara mapambano hayo.
Leo tarehe 29.01.2021 kulikuwa na Rumble in Dar, ukiacha mapambano ya wale wakina dada, ambayo yalikuwa ni armature . Pia pambano la Kilanga na Mlosi ambalo nalo halikuwa na principal za boxing. Pambano lililobeba siku nzima na ambalo lilikuwa lasubiriwa kwa khamu na ghamu ni baina ya The only and only magician of boxing in Tanzania, the champion of uzito wa unyoya, Ibrahim Class, the classic himself and king of the ring na Mmalawi, hakika lilibeba sana jina la Rumble in Dar. Ibrahim classic katika round zote 12 alionesha namna mchezo wa boxing unavyotakiwa kupigana. Mwisho ushindi wa Judges kwa anonymous nadhan haukuonesha namna alivyomchapa mwenzie. Kila round Class alikuwa na ngumi kama 5 kwa mbili za mpinzani wake. Pia kuna round kwa mfano round ya 3-9 mpinzani wake alikuwa na wakati mgumu sana wa kukubali mara kwa mara Upper cut, jabs na combination punches nyingi zaidi ya ngumi 100, Mmalawi alipigwa katika round hizo. Hakika Ibra Class ndiyo bondia anayefurahisha kutazama sasa Tanzania. Mayweather angekuwa katika ujana wake, ningekuwa na ndoto za hawa wawili kupambana, hakika lingekuwa moja la pambano tamu sana kuwahi kutokea ulimwenguni. Hongera king of unyoya weight, the Ibra himself Class. Nakutabiria makubwa sana kama tu utazidisha nidhamu katika maendeleo yako.
 
Kabisa huyu dogo hata mimi kanikosha sana kwa umahiri wake ulingoni kapata mpinzani wa kweli na kapambana vizuri kikubwa apate sapoti nzuri hakika atateka hisia za wengi, bila hisia za makandokando kama ilivyo kwa wengine wenye high profile lakini kama hawaaminiki kutokana na aina ya wapinzani wanaokutana nao
 
Ibra ana energy kubwa sana
kashinda kihalali kabisa sio yule mwingine wa mwambao wa pwani
 
Nimekubali Sana yule janki ibra anapoga ngumi mfulizo Kama cherehani... Yuko faster, intelligence, aggressive, defensive and attacking master.

Hats off! Anatisha! [emoji83]
 
Umelezea vizuli sn mtoa mada nimecheki hilo pambano na jambo la msingi amepata mpinzani mzuli sn zile ngumu cha msingi awe na nizamu kwa kuzingatia amemuheshimu mpinzani na vile amepata mpinzani wa kweli ss angeingiza zalau kwa mpinzani wake ingekuwa ngumu sn ule mchezo kwa mpinzani yule
 
Mkuu, kwa uandishi huu unanifanya nijiulize kiwango chako Cha elimu!!
 
Hana killer instinct..
Finishing punch pia hana

Ni mzuri Kwa style na boxing..
But ukiwa unataka KO hakupi.
Ni boxer anavutia .
Sio fighter ..
 
Hana killer instinct..
Finishing punch pia hana

Ni mzuri Kwa style na boxing..
But ukiwa unataka KO hakupi.
Ni boxer anavutia .
Sio fighter ..
Mkuu KO za akina tyson...nikupige fasta nishinde,wengine tunapenda burudani kama walizotoa akina ali
 
Hana killer instinct..
Finishing punch pia hana

Ni mzuri Kwa style na boxing..
But ukiwa unataka KO hakupi.
Ni boxer anavutia .
Sio fighter ..
Mabondia wengi hawana "Quickness" wepesi na uharaka wa kuona na kuufanyia kazi udhaifu wa wapinzani wao.

Dogo iki kitu anacho! Very fast, quick and efficient.
 
Wakati mwingine maoni/uchambuzi huathiriwa na matokeo.
 


Ngoja na mimi niliangalie.
 
Mwisho ushindi wa Judges kwa anonymous nadhan haukuonesha namna alivyomchapa mwenzie.

Nimeangalia hilo pambano, sijui wewe ulipenda matokeo yaweje ukizingatia mabondia walimaliza 12 rounds.

Mayweather angekuwa katika ujana wake, ningekuwa na ndoto za hawa wawili kupambana, h

Ibrahim class bado sana kwa level ya Mayweather, labda aende US na afanye mazoezi sana chini ya Mayweather sr (Mayweather baba) ili angalau awe katika kiwango cha Davine Haney.
 
Hana killer instinct..
Finishing punch pia hana

Ni mzuri Kwa style na boxing..
But ukiwa unataka KO hakupi.
Ni boxer anavutia .
Sio fighter ..
I think mpinzan aliyekutana naye alikuwa mzur na siyo mtu wa kugive up thats why KO Ilikuwa ngumu kwa game ya juz
 

Ukimuangalia vizuri ni bondia anayefundishika. So akiweka nidhamu atafika mbali sana
 

Judges wote walimpa ushindi na ni kweli alistahili, but tofauti ya point ilikuwa ndogo, wakati Ibra Class ali dominate game mwanzo mwisho
 
Ukimuangalia vizuri ni bondia anayefundishika. So akiweka nidhamu atafika mbali sana


Ni kweli lakini kwa hivi sasa ni muhimu awasikiane au aende states kwenye Mayweather gym akanolewe na Mayweather snr pia apate conditioning coaching nzuri huko.

Mabondia wakali kama chriss Eubank jr na Davine Haney wamepata kwa wakati fulani kunolewa na Mayweather snr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…