Ibrahim Class Mgender achukua mkanda wa GBC baada ya kumpiga mzambia, Simon Ngoma

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Pambano la Mtanzania Ibrahim Class na Mzambia, Samson Ngoma watapigana round kumi kuwania mkanda GBC

Ibrah ameibuka mshindi na kuchukua mkanda wa GBC





Mapambano ya Utangulizi
1. Maisha Samson Vs Kivu Abdi
Super Middle Weight
Round 8
Mshindi: Kivu Abdi

2. Abdul Juma Vs Hamza Mchanjo
Uzito Fly weight
Rounds 6
Mshindi: Hamza Mchanjo

3. Abdallah Luanje Vs Hussein Gobossy
Uzito welter weight
Rounds 8
Mshindi: Abdallah Luanje

4. Hamidu Kwata Vs Ally Ngwando
Hii ni Rematch
Uzito super fly weight
Rounds 8
Mshindi: WAMETOKA DRAW

5. Said Mohamed Hassan Vs Haidary Mchanjo
Flyweather weight
Rounds 8
Mshindi: Haidary Mchanjo
 
Saa ngapi hili pambano.. au tulale tukiamka usiku wa manane ndiyo watakuwa wanaanza kupigana.
 
Ibrahim class mawee ndio box naemkubalii sana

Anapigana ngumi nzuri sana yule jamaa,ngumi za shule round 10 huoni akimkumbatia mtu
 
Ibra mtulivu sana ulingoni..anajua anachokifanya hana papara
 
Kuna wimbo ulipigwa wakati anaingia huyo mzambia..nimeupenda sijui unaitwaje wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…