mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Lipumba na Cuf yake walikuwa wa moto sana kipindi cha Mkapa, kulituhumiwa kuwa chama chenye mrengo wa dini ya kiislam, walimpelekesha Mkapa kwelikweli akateua muislam Omary Maita kuwa IGP ngangari kwa nginguri.
Alivyoingia Kikwete madarakani CUF ikajifia hswakuwa na agenda tena ,maana lengo lao la kuwa na Rais muislam lilitimia,.
Zitto Kabwe aliibuka kipindi cha Kikwete ila alikuwa makini sana kumkosoa Rais yeye aliwakisia mawaziri tu,kwa ufupi alikuwa rafikiwa Kikwete.
Enzi za mwanzomwanzo za kuibuka kwa Jakaya Kikwete alionheza middle name Mrisho i kujitofautisha na Jackson Makweta
Ukiwaona Mzuzuri baafa ya kukosa kura miaka ya 80 akaongeza middle names Ramadhani Mwinyishehe akashinda ubunge
Zitto Kabwe smeshakabidhiwa j8mbo huko kigoma anasubiri kuapishwa tu 2025.
Lipumba mbili haikai,tatu haikai Anatamani 2030 ifike kesho aanze siasa.