NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naam! Nitakua mnafiki Kama sijasifia kiwango Ibrahimu Bacca hakika huyu ni Beki na Aliyemuona Bacca na kumsajili Yanga Sc kwa kweli ana jicho la kuona talent naye anastahili sifa.
Bwana Mdogo kafanya kazi kubwa sana kwenye Michuano ya kimataifa haswa kwenye Mechi Ya Mamelody Fc na Yanga huyu kijana kuonesha ukomavu wa Hali ya juu, washambuliaji wa Mamelody akiwemo Shalulile alifichwa kwenye kwapa na bwana Mdogo Ibrahimu Bacca.
Mechi ya Dodoma kwenye kombe la crdb bwana mdogo alipiga kazi kubwa sana mapaka nikawa naomba Gamond Ampumnzishe Ibrahimu Bacca Maana Kubwa mfululizo siku akija kuchoka atachoka mazima.
NALIA NGWENA kila Nikichungulia kikosi kwenye mechi za Yanga Sc Bacca hakosi, nichukue Fursa hii kulishauri Benchi la ufundi la Yanga Sc Kumpa muda wa kupumnzika bwana mdogo Ibrahimu Bacca ili kuepusha kuchoka mazima.
Ibrahimu Bacca ni vazi Pendwa kwenye kabati la Miguel Gamond kila siku analivaa pasipo kutazama kuwa litachuja au litachanika, apewe ushauri kuhusu kupumnzishwa kwa Ibrahimu Bacca.