Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo;
NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu.
Huduma zangu;
Baadhi ya kazi za wateja wangu;
NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu.
Huduma zangu;
- Natengeneza PDF ya document yoyote, iwe kitabu, cheti, cv, proposal, business plan, nk: Tsh 30,000
- Nakufanyia kazi yoyote ya Microsoft Word/Excel ya page 1 hadi 100: Tsh 5,000 - Tsh 150,000
- Natengeneza stika za bidhaa, logo, lebo, tangazo la bidhaa/biashara, nk: Tsh 30,000
- Natengeneza YouTube channel na banners zinazofit screen yoyote: Tsh 30,000
- Natengeneza business cards, receipts, fomu za huduma, nk: Tsh 30,000
- Natengeneza website za biashara/bihaa zako (landing page): Tsh 200,000
- Nakuagizia bidhaa ndogo ndogo kutoka China: Tsh 30,000 - Tsh 150,000
- Cash: Tunaweza kuonana (Kimara Temboni) ukanilipa cash, pia naweza kukufata ulipo
- Kwa simu: Unaweza kunilipa kwa simu (baada ya kupokea kazi yako na kuithibitisha)
Baadhi ya kazi za wateja wangu;
Attachments
-
Screenshot_35.png22 KB · Views: 7 -
Screenshot_36.png86.4 KB · Views: 7 -
Screenshot_48.png60 KB · Views: 7 -
Screenshot_59.png47.4 KB · Views: 8 -
Screenshot_67.png50.9 KB · Views: 7 -
Screenshot_68.png21.8 KB · Views: 5 -
Screenshot_69.png88.7 KB · Views: 7 -
Screenshot_70.png42.8 KB · Views: 7 -
Screenshot_71.png21.7 KB · Views: 6 -
Screenshot_72.png154.2 KB · Views: 6 -
Screenshot_73.png37 KB · Views: 7 -
Screenshot_74.png9.7 KB · Views: 6 -
Screenshot_75.png110.4 KB · Views: 6 -
Screenshot_76.png51.2 KB · Views: 7 -
Screenshot_77.png189.2 KB · Views: 5 -
Screenshot_78.png54.9 KB · Views: 7 -
Screenshot_79.png14 KB · Views: 5 -
Ibutick (160 × 40 px) - Darkblue Background.png4.6 KB · Views: 7 -
IBUTICK (500 × 500 px) - Blue.png4.8 KB · Views: 7 -
Ibutick Audit Certificate.png112.4 KB · Views: 4 -
Neys receipt.PNG5.4 KB · Views: 4