Ibungu bar

It's local bar Lakini naenjoy sana jamani, Kuna vibe fulani amazing jamani, kama Kuna mwana jf anyooshe mkono nanunua chochote.

Furaha ni kunywa na marafiki, furaha kulewa na marafiki.

Sisi ni walevi.
Bar ina kelele sana hiyo upepo ukvuma mpaka uku luhanga inaskika sema vibe sana pale ila asilimia 60 watoto wa chuo cha nit
 
It's local bar Lakini naenjoy sana jamani, Kuna vibe fulani amazing jamani, kama Kuna mwana jf anyooshe mkono nanunua chochote.

Furaha ni kunywa na marafiki, furaha kulewa na marafiki.

Sisi ni walevi.
Kuna dude linaitwa miranda hapo lina saloon mitaa iyo mabibo limenona sana,ukikaa vibaya unaweza ingia 18.
 
Sibabaishwi na vitu hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…