ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
Waafrica hasa Watanganyika, tuna tatizo zito.
Waarabu walituuza utumwa leo tunawasifu na kuwaona wa thamani, kisa dini. Badala ya kudai fidia.
Madini yanabebwa, tunashangilia.
Tanzannite ipo Tanzania tu, lakini wakenya, Wahindi na watawala wanajibebea. Na nembo kwenye world market wao indians ndiyo wamiliki na wauzaji
Bandari imeuzwa tunashabikia eti chama chetu.
Ngorongoro wamasai wamehamishwa kwa nguvu, waarabu wameweka mpaka bendera na huwezi kuingia hadi wakuruhusu
Maji ya ziwa Victoria mchina kapewa aweke cages za samaki badala ya kuwakopesha vijana waliosoma SUA mambo ya uvuvi.
Ukishauza bandari na airports, tayari ninyi sio nchi tena. Watabeba au kuingiza chochote.
Sisi rasmi ni wapangaji wachovu ndani ya nchi yetu.🙆🙆🙆🙆🙆