ICC judges want Ruto, Sang tried in Kenya

Kashishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2010
Posts
1,142
Reaction score
635
ICC judges want Ruto, Sang tried in Kenya



JARED NYATAYA | NATION Two of the Ocampo Six suspects William Ruto (left) and Joshua arap Sang during prayers held for them at Kipchoge Keino Stadium in Kapsabet Town.

By LILLIAN ONYANGO laonyango@ke.nationmedia.com

Posted Monday, June 3 2013 at 21:21


IN SUMMARY

  • In a statement, the Court said the proposal was made following a request by the defence on January 24.

SHARE THIS STORY

The International Criminal Court Trial Chamber has suggested to its Presidency to hold the start of Deputy President William Ruto and former radio presenter Joshua arap Sang’s trials in Kenya or Tanzania.

In its recommendations on Monday, the Trial Chamber said “it may be desirable to hold the commencement of trial and other portions thereof, to be determined at a later stage, in Kenya or, alternatively, in Tanzania.”

In a statement, the Court said the proposal was made following a request by the defence on January 24.

Before reaching the decision, the Trial Chamber sought and obtained observations from the parties and participants, as well as other relevant authorities.

“This recommendation made by Trial Chamber V(A) is only a step in the procedure - set out in Rule 100 of the Rules of Procedures and Evidence - as the final decision on the issue will be made in due course by the judges, in plenary session,” the statement read in part.

However, the Court remained the parties that the seat of the Court is in The Hague and where the Court considers that it would be in the interests of justice, it may decide to sit in a State other than the Netherlands

Source: Nation Newspaper
 
Magazeti ya Kenya siku hizi yametiwa kampuni na habari zao ni potovu kimtindo. Kauli halisi ya ICC hii hapa...

10 ... The Chamber will at the relevant time re-visit the possibility of holding portions of the trial in Kenya, subject to security and logistical considerations, and taking into consideration the rights of the accused to a fair and expeditious trial as well as the victims' views and concerns.

11 ...the Chamber considers that Tanzania, which was also recommended by the parties, could also serve as an appropriate venue, although to a lesser degree. The Chamber notes in this regard that it did not receive any response from the Tanzanian authorities and it is thus unable to determine whether the authorities would be prepared to provide support if the Chamber were to sit in Tanzania.

12. In order to facilitate an expeditious further examination of the proposal to hold portions of the trial in Kenya or, alternatively, in Tanzania, the Chamber has requested the Registry to explore practical aspects of the proposal and prepare a feasibility study.


www.icc-cpi.int/iccdocs/doc/doc1599761.pdf

Kisha swali ninalojiuliza ni, je What is Dodoma's official position on this matter maana a formal request had been earlier...ndo maana tunasikia the Judges have requested that Tanzania be approached again on the logistics of this matter...especially on the issue of witness intimidation.

Over to the Tanzanian Govt.
 


Mkuu Ab-T, the whole stuff sounds GREEK 2 me, I thought ICC is an impregnable entity!! It never xed my mind that they could be so wobbly on certain burning issues!! Looks like they have finally decided to cut and run somersaulting like HYDRA in the process!!

Kitu kingine mkuu sioni kama mashahidi watakubali ku-testify hapa Tanzania au Kenya - maanake nasikia baadhi yao wamekwisha potea kiaina au kuuwawa!! Kusema kweli sioni kama ICC itakubali kesi hii isikilizwe barani Afrika, mimi naona jamaa wa ICC wanataka kuwachota akili Viongozi wa Africa ambao wamepania kweli kweli kuwakingia kifua wenzao. ICC ina-buy time tu sina shaka mwishowe watasema mashahidi awawezi kuwa salama wakiwa barani Africa hivyo kesi hii inapaswa kusikilizwa Ulaya.

Binafsi msimamo wa baadhi ya Viongozi wa Africa kuhusu suala hili ulinishangaza sana, yaani wanafanya hivyo kwa kuwa wengi wao nao wana traits kama za watuhumiwa; waswahili usema ukiona mwenzako akinyolewa nywele basi na wewe kichwa anza kutia maji..... A.U ilidhilisha kwamba wanalindana kweli kweli!! Kwao haki za binadamu na utawala bora vinawekwe kwenye back seat katika Priorities zao. Ntashangaa kama Tanzania itachangamkia kusikilizwa kesi hii nchini mwetu.
 
The ICC submission and caving in to the demands of AU should now make sense, after the OTP chest-thumping they have now to reconstruct the credibilty the African signatories once saw in them.

Second Issue the witnesses cannot come to kenya or TZ to testify sababu walikuwa wamepewa ahadi za citizenship kule Europe watakapotoa ushahidi and I do not think the TZ authorities can work in tandem with the ICC to process their applications. Same applies to the kenyan scenario.

otherwise Ab-Titchaz na mwnezngu Bukyanagandi, wengi tulidhani ICC ni ya kimataifa na hivyo ilikuwa huru katika shughuli zao. lakini hata tuligundua kuwa ICC inategema fedha kuendensha shughuli zake kutoka kwa UN. Jiulize who funds the UN halafu upate jibu kamili who funds the ICC.

TZ/Arushan Justice system is flaud and if the ICC inaweza kuwa interfered sembuse Arusha!!..

makala imekwisha tambua weaknesses of the TZ justice system...

nice day!!..
 
Looks like the ICC has not actually accepted the cases be shifted to Africa. It is only an option they are still exploring.
 

Mkuu,

sababu ilionifanya niweke link kutoka mtandao wa ICC ni ilmradi ujisomee mwenyewe walichosema.
Nowhere in their statement have they said hii habari inayosambazwa na magazeti ya Kenya. It is
that cut and dry.

This is the key statement:

10 ... The Chamber will at the relevant time re-visit the possibility of holding portions of the trial in Kenya, subject to security and logistical considerations, and taking into consideration the rights of the accused to a fair and expeditious trial as well as the victims' views and concerns.
 
Ntashangaa kama Tanzania itachangamkia kusikilizwa kesi hii nchini mwetu.
I like where this debate is heading to. I like the fact that we are slowly pre-empting the possibility of the OTP utilizing the TZ judicial process when the ICC considers to transfer the cases to Arusha. So logistical concerns means that they will create their own court Oh... thanks nimeshaelewa sasa. The TZ authorities are yet to agree to the idea!.

ICC susceptibility has been exposed in the few weeks that have passed. They were rigid at first about starting the case in the hague but the final destination for the ICC is arusha and will not hold parts of the cases in Kenya due to its Judicial system..
 

Habari za siku nyingi mkuu Kabaridi, kwanza kuna vitu viwili ambavyo vimenishtua kidogo:

La kwanza ni hili la kusema kwamba mashahidi watakao toa ushahidi dhidi ya Uhuru na RUTO watapewa Uraia wa Ulaya au Merikani - mkuu hebu tufafanulia hapa-hivi Wazungu hawa wanatanufahika na kitu gani katika kusikiliza kesi hii ya Kimataifa, nimejaribu kukuna kichwa changu nikakosa jibu; hivi kuna dhambi kweli kutaka kuwatetea wanyonge ambao waliteseka na kutendewa mambo yanayo kihuka haki za binadamu kutokana na uroho wa madaraka wa Viongozi wao?

Je? Viongozi walio toa amri ya kutekeleza mambo ya watu kuuwana, kujeruhi mpaka kufikia hatua ya kulitia aibu bara lote la Africa unataka kusema na hao wahachwe huru bila ya kufikishwa kizimbani na kijibu tuhuma zinazo wakabili? Kwa nini tusiachie mahaka ya the Hague kuendesha kesi hii, kama watuhumiwa wataonekana hawana hatia si watahachiwa tu kwani tatizo liko WAPI! Kwa nini wanaonekana kuhaha na kunajihami masaa yote - kuna nini?

Suala hili likiachiwa hivi hivi no one will be safe barani Africa, watawala wa kiimra watatumaliza maana watajua hakuna wa kuwafanya lolote na infact wengine watabadiri katiba na kuwa Watawala mpaka kufa kwao, na kurithisha watoto wao, wake zao na wajomba vyeo/Urais - in short Ufalme utarudi kupitia backdoor - hii ikihachiwa iote mizizi itakuwa hatari kubwa barani Africa ndugu Kabaridi.

Jambo la pili ninalo taka kuzungumzia ni hili la Makama ya the Hague kuhamia nchini Tanzania kwa muda kama kuna ulazima wa kufanya hivyo, nimeona umejaribu kuijia juu Tanzanani kuhusu sifa zake kimahakama, katika hilo 'am sorry kukufahamisha kwamba nafikili umeteleza kidogo ndugu Kabaridi. Mkuu Kabaridi nataka nikukumbushe kwamba hapa tunzungumzia mahaka ya kimataifa ya the Hague ambayo ina Majaji wake walio teuliwa na UN kama sikosei, na hao wanatoka Mataifa mbali mbali, Tanzania ahusiki chochote na utehuzi wa Majaji hao na wala hakuna Mtanzania hata mmoja katika jopo zima la Majaji wa Kimataifa waliopo the Hague if my memories serves me right.

Mkuu Kabaridi nikuhulize swali, hivi the Hague ikihamua kubadiri Venue ya kusikiliza kesi na kuhamuru Majaji wa the Hague waje hapa Tanzania kusikiliza kesi hiyo, wewe unafikili ni kitu gani kitabadirika katika mwenendo mzima wa kusikilizwa KESI - jibu unalo. Mahakama itabaki ni ya Kimataifa kitakacho badirika pale ni venue TU au site inaposikilizwa kesi, hivyo mkuu Kabaridi si sahihi kusema ikihamishiwa Tanzania basi Majaji wa TANZANIA ndio watahusika kusikiliza kesi hiyo - hii si kweli hata kidogo!! Sijuhi kwa nini umesema hilo wakati ukijuwa wazi wazi kwamba unalo lisema alina ukweli wowote!!

Tanzania inaweza kuwa na matatizo yake katika sekta hii, lakini ndugu Kabaridi unataka kuwaeleza wasomaji kwamba Mahakama za Kenya ziko immune katika vices hizo, Juzi juzi hapa ndugu Raila alionja shubiri za Mahakama zenu, tulimuona akilalamikia mizengwe ya baadhi ya Majaji wenu sio Mahakimu wakazi narudia alizungumzia Jopo la Majaji walio kuwa wanasikiliza kesi yake - najua hapo Kabaridi utamsema sana Ndugu Raila kwamba ni unguided missile asiye kubari kushindwa kwa hiyo hakufanya home work yake sawasawa ndio maana robot za komputa zulikuwa zinachezea database kwa ku-maintain gap ile ile regardless ya matokeo yalivyo kuwa yanaletwa kutoka vituoni na kura zinazo haribika zinakuwa astronomical high ili ku-maintain equilibrium - a very clever ploy!

Narudia kusema mahaka za Kenya haziwezi kuzicheka za Tanzania, Upande wa Tanzania at least kuna Majaji wengi ambao wako truely independent hawamuogopi hata Rais ni hii tumekwisha ishudia nchini mwetu mara nyingi TU. Nimalizie kwa kusema Raia na watu wa nje ya Taifa lenu tuliona jinsi kesi ya Uchaguzi ilivyo endeshwa hapo Nairobi, hata kama Raia/Wageni hawasemi lakini si wajinga.

Goodday mkuu Kabaridi.
 

Mkuu Bukyanagandi heshima mbele;

kukujibu swali lako, kwanza, hakuna dhambi kutafuta na kuwapatia waathiriwa wa ghasia haki, ila haki inatakiwa kuonekana kuwafaidi walioathiriwa. ukweli ni kwamba ikiwa jambo hili la ICC ingejadiliwa nje ya taasisi ya bunge la kenya, kwa sasa waathiriwa wangekuwa washapata msaada. lakini wabunge walikologa jambo hili kwa siasa na ndio kuzidisha jambo hili kuonekana ya kisiasa na sio ya kisheria. (if you know what I mean, if the ICC conundrum was settled outside parliament mengi mpaka haki ingekuwa imetendeka kwa waathiriwa. hata wale walio kambini wakati huu hawana imani na ICC. uchungu upo dhisi ya washtakiwa lakini imewachukua mahakama ya ICC zaidi ya miaka tatu kuhunda mashtaka na washtakiwa. mbona shughuli hii imefanana na kusimama pamoja na timing ya uchaguzi wa mwaka 2013?. Tangia mnamo 2010 na miaka za awali ocampo alikuwa ashatengeneza mashtaka na mashahidi wa kutosha. lakini ukweli ni azima ya ICC mwanzoni ilikuwa kuwapukuta (uhuru na ruto) kutoka siasani na kwenye kinyanganyiro ili mtu wao apate uongozi. Utatarajia waathiriwa wa ghasia watendewe haki kutoka ICC wakati inahusisha dukuduku za siasa kwenye kesi zake. la msingi ICC walitaka Mh Raila apate kiti kwanza kabla ya kushughulikia waathiriwa.

Umetazama raila mwenyewe hivi maajuzi amekuwa akijihusisha sana na matamshi yanaolenga kuitetea shughuli ya ICC barani. Na mpaka akaahidi wakenya kwamba atarejesha Kesi hizo kenya. TUNASUBIRI MPAKA WA SASA..Mpaka wakati huu swala la ICC limbaki shughuli ya Kisiasa. lakini huyu bwana ni mnafiki. Hivi ICC wakati mambo yamekulia kwao mpaka akaendelea mwenyewe kusema viongozi wa africa walitaka 'vikosi' vingine zaidi ya taasisi tunavyo mahakama..nk.. kushughulikia na kuwatetea wanyonge. ambao una.. ukweli ndani yake ila asisahau viongozi barani walikubaliana kwa kauli moja kuleta ICC barani..lakini naye kwa kauli yake mwenyewe anazidi kucheza unafiki na tasisi hiyo...To bring or not to bring the cases home! To bring to arusha or to leave the cases to go on at the hague..sababu uchaguzi wa machi 2013 umekulia kwake, sasa ana kauli kesi ziendelee kule hague. maana anajua taasisi hii inahendeshwa na wanasiasa kutoka marekani. kibinafsi anazima au kuiendeleza. licha ya unafiki wa kidiplomasia, mataifa yanaopinga serikali ya uhuru wanaleta mauaji mashariki ya kati....



Ikiwa kenya imeihahibisha bara kwa tukio la 2007, basi mwaka wa 94 rwanda ikaidhulumu bara hadi kaburini. Rwanda tukumbuke haukuwa msitu ulikuwa ni taifa ambalo ilikuwa na rais. unafaa useme wanasiasa sio taifa maana hata rais wa rwanda alipouwawa ndipo mauaji yakaanza rwanda. Waliopewa Hizi si shughuli za taifa na wananchi bali ni shughuli za kisiasa. kupuuza janga hii inalingana kama taifa ina taasisi za kuheshimika, za kulinda haki zote za wananchi.


Hili nalo pengine Mungu kurudi, licha ya kuwa na ICC bado udikteta unaendelea africa kwa hio ICC sio suluhisho ya changamoto za uongozi wa kiimra


Mkuu hapa nakubali utelezi bali sioni litakalobadilika hata ingawa ICC itatuma majaji hapa kenya. hata watakapofungua mahakama tanzania hakuna litakalobadilika; la msingi ICC imeona Tz wapo usingizini; mkoloni zamani kakuandikia katiba halafu kazi ya Mtanzania kuitafsiri kwa kiswahili halafu watu waringe kwamba wapo na katiba imara. hebu tueleze, ni lini katiba ya Tz kugeuzwa au kuandikwa upya kifikia viwango vya sasa (si maanishi ammendments ya vipenge kadha wa kadha kwenye katiba)?!!!


Is Tanzania a member of the rome statutes?? tuanzie hapo..licha ya kenya kuwa signatories.................................................
..............

mahakama za kenya zimerekebishwa kufikia kiwango ya kimataifa, lakini kupitia vyombo vya dola a clever ploy by raila to discredit our court instituions refomed according to the (due process) in compliance to the new constituition. tatizo ni kuwa anapigana vita akitumia wabunge amabo wamechaguliwa na wakenya wakitumia taasisi zetu wakenya. Hivi mutunga had to do some soul searching kabla ya kufikia uamuzi. katiba ya kenya does not become discreditied overnight sababu mwanasiasa hapendezwi. kazi ya kendesha serikali haifanywi kwa jinsi hii..nobody blames this fella kwa sababu hajakuwa serikalini kutoa uongozi ila ile ya nusu-mkate akiwaibia wakenya na kuwapambia familia na mandugu zake...


kulingana na makala niliyoweka hapo juu, ulichosema does not hold water mkuu. bado I and contitue to insist vyombo vya Tanzania haviko uhuru kufunua shughuli za siasa kwenye mahakama za TZ. Ombeni nanyi mpate mnafiki atakayelilia marekebisho/reforms kwa asiyejali tz bali anayetaka kuuza tanzani ipokonywe haki yake...
 
Mkuu umejieleza vizuri sana nakupa pongezi za dhati, tuendelee kuwa tuna badirishana mawazo mara kwa mara; kuna kitu umenikumbusha kuhusu katiba yetu kwa mfano, mkuu Kabaridi tuko mbioni kurekebisha Katiba yetu actually kuna vipengele vilivyo hazimwa/copied kutoka katika katiba yenu, tunashukuru kwa hilo; I wish wange copy clauses nyingi kutoka kwenye katiba yenu zenye manufaa kwa ustawi wa Taifa letu. Labda nimalizie kwa kukili kwamba huko mahiri kwenye nyanja za kutetea TAIFA lako - keep it up mkuu Kabaridi.
 
Heshima yako Mkuu, Mbona ulieleweka vizuri tu tangu mwanzo, actually comments zangu zilikuwa zinalenga kukosoa media za majirani zetu ambazo zilikuwa zina toa taarifa ambazo hazikuwa sahihi na wakati mwingine waliongeza chumvi mno!
 
Bukyanagandi, tutajua vipi kama waafrika tuna uhuru wa kujitawala isipokuwa kushughulika kubadilisha vitu muhimu kama katiba?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…