Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Kwa niaba ya wengine, naomba maelezo yenye kueleweka kwa uchache tu, ni kwa namna gani hiyo mahakama inafanya kazi?Mkuu,
Umesoma kitabu gani, chapisho gani kubusu ICC inavyofanya kazi?
Naona kama Watanzania wengi wanakwenda kwa assumptions sana bila kutazama facts.
Kuna mengi sana ila kwa sababu umetaka kwa uchache tu, hiyo expectations ya timemeframe ya miezi michache kuanza kuona results ni wrong expectations.Kwa niaba ya wengine, naomba maelezo yenye kueleweka kwa uchache tu, ni kwa namna gani hiyo mahakama inafanya kazi?
Itapendeza hakika.Kuna mengi sana ila kwa sababu umetaka kwa uchache tu, hiyo expectations ya timemeframe ya miezi michache kuanza kuona results ni wrong expectations.
Kwa zaidi soma hiki kitabu nilianza kukisoma sijakimaliza, nilitaka kuelewa zaidi hii mahakama inavyofanya kazi. Mambo hayako rahisi kama Watanzania wengi wanavyofikiri.
"Gravity at the International Criminal Court: Admissibility and Prosecutorial Discretion (Oxford Monographs in International Law)".
Nakitafuta nitakiweka hapa kwa wanaotaka kusoma.
Nimekiweka post # 22.Itapendeza hakika.
Shukrani sana mkuu.Nimekiweka post # 22.
Kuna haja ya kusoma hivi vitabu vya kisomi vinavyoelezea hii michakato kwa kina, pamoja na changamoto zilizopo, kabla ya kuweka expectations kwa assumptions zetu tu bila kuelewa facts.
Cc Salary Slip
ICC si ya kutegemeana sana. Iliwasaliti waKenya!Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Ruto walked out a freemanUhuru Kenyatta na William Ruto walipanda kizimbani 2011 kwa makosa yaliyotokea baada ya vurugu za uchaguzi 2007-2008
Hivyo , muda bado upo na siku itafika nyang'au la Kizimkazi lipata haki yake.
Hakutoka kama free man, kesi ilifungwa baada ya watu kugoma kwenda kutoa ushahidi [kwa vitisho, hongo] , mashahidi muhimu kuuwawa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha.Ruto walked out a freeman
Haikuwasaliti wakenya,kesi ya wakenya ilikuwa rahisi watuhumiwa kuchomoka maana ni chuki za kikabila miongoni mwa raia ndo zilisababisha hayo mauaji.ICC si ya kutegemeana sana. Iliwasaliti waKenya!
Kama mnaweza rudini kwenye ibada, za kisasa na za asili!
Na pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.Hakutoka kama free man, kesi ilifungwa baada ya watu kugoma kwenda kutoa ushahidi [kwa vitisho, hongo] , mashahidi muhimu kuuwawa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Ruto by nature ni mafia sana tangu enzi za YK92 ninaamini bila ile katiba bora ya Kenya na yeye kuwahi kufikishwa ICC basi angeiburuza Kenya zaidi ya Museveni.
Mkuu watu wamepiga kisomo cha kufa mtu pemba!!! ICC wamesahaulishwa mazimaNilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Naam , sahihi kabisa mkuu.Na pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.
Kilichowaongoza wafanya vurugu oktoba ni udini,kenya kuna ukabila wa kijinga na Tanzania kuna udini wa kijinga,ambao sana upo wa kwa wakristo(katoliki), ndiyo maana mpaka leo bado wanabweka tu maana lao halikutimiaNa pia wakenya ukabila ni mwingi sana mkuu, yaani mtu kuliko kiongozi anaetokea kwenye kabila lake aende jela,ni bora asitoe ushahidi. Na pia intaneti haikuwepo kipindi hicho, ukosefu wa intaneti unaficha mengi.
Mna utoto mwingi sana!!Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Watz naona wana maumivu so wanaona kama muda unaenda sanaRodrigo Duterte , dikteta na muuaji wa Philippines, kakamtwa mwaka 2025 mwezi March kwa makosa aliyofanya kati ya 2011 na 2019 .
Uhuru Kenyatta na William Ruto walipanda kizimbani 2011 kwa makosa yaliyotokea baada ya vurugu za uchaguzi 2007-2008
Hivyo , muda bado upo na siku itafika nyang'au la Kizimkazi lipata haki yake.
Trend reading ikizimgata hiyo interval na ikiwa Samia atashitakiwa maana ake itakuwa kati ya au baada ya 2030Rodrigo Duterte , dikteta na muuaji wa Philippines, kakamtwa mwaka 2025 mwezi March kwa makosa aliyofanya kati ya 2011 na 2019 .
Uhuru Kenyatta na William Ruto walipanda kizimbani 2011 kwa makosa yaliyotokea baada ya vurugu za uchaguzi 2007-2008
Hivyo , muda bado upo na siku itafika nyang'au la Kizimkazi lipata haki yake.