ICC wadaiwa kufungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki kwa Wapalestina

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hii ni habari kubwa na nzito.

Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume. Ushahidi unaweza kuwa sauti, video au nyaraka.

Ingia kwenye website hii utume.

==========•••••••
This is huge.

The ICC have now set up a portal for any submission of evidence of Israeli war crimes and crimes against humanity.

Anyone can upload, including videos and images. Please share far and wide!

Inapofikia akina blinken kuzungumzia taifa huru la Palestine,jua ni machweo kwa Israel
 
Hii ni habari kubwa na nzito.

Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume. Ushahidi unaweza kuwa sauti, video au nyaraka.

Ingia kwenye website hii utume.

==========•••••••
This is huge.

The ICC have now set up a portal for any submission of evidence of Israeli war crimes and crimes against humanity.

Anyone can upload, including videos and images. Please share far and wide!

Waanze na hizi kwanza

View: https://twitter.com/Osint613/status/1747664573505618343?t=6ReGw9v2UkspFkO3-pGHvA&s=19

View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1747674059159085543?t=6ReGw9v2UkspFkO3-pGHvA&s=19
 
Back
Top Bottom