futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Aug 10, 2010 #1 Hi. Natafuta Mashine za kutengenezea barafu. Kama kuna mjasiriamali humu anayeuza kwa bei ya jumla tafadhali ni-pm. Thanks
Hi. Natafuta Mashine za kutengenezea barafu. Kama kuna mjasiriamali humu anayeuza kwa bei ya jumla tafadhali ni-pm. Thanks
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Aug 10, 2010 #2 Kwa bongo sijui lakini kama unataka ku-impot nenda kwenye link hii hapa chini. www.softice.co.za
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Aug 11, 2010 #3 futikamba said: Hi. Natafuta Mashine za kutengenezea barafu. Kama kuna mjasiriamali humu anayeuza kwa bei ya jumla tafadhali ni-pm. Thanks Click to expand... Barafu za namna gani? za viwandani, kama zile wanatumia wavuvi, zile tulokkuwa tunaramba primari enzi zile, au zile anatengeneza SS?
futikamba said: Hi. Natafuta Mashine za kutengenezea barafu. Kama kuna mjasiriamali humu anayeuza kwa bei ya jumla tafadhali ni-pm. Thanks Click to expand... Barafu za namna gani? za viwandani, kama zile wanatumia wavuvi, zile tulokkuwa tunaramba primari enzi zile, au zile anatengeneza SS?
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Aug 11, 2010 #4 Ntemi Kazwile said: Kwa bongo sijui lakini kama unataka ku-impot nenda kwenye link hii hapa chini. www.softice.co.za Click to expand... Ama....hizi mbona ni za shikilimu...nadhani jamaa anahitaji za ice...mabonge yale ya feri....hata mimi nataka sana hizo ICEBLOCK MACHINE naambiwa China ni cheap kidogo lakini Italy wanazo bomba....
Ntemi Kazwile said: Kwa bongo sijui lakini kama unataka ku-impot nenda kwenye link hii hapa chini. www.softice.co.za Click to expand... Ama....hizi mbona ni za shikilimu...nadhani jamaa anahitaji za ice...mabonge yale ya feri....hata mimi nataka sana hizo ICEBLOCK MACHINE naambiwa China ni cheap kidogo lakini Italy wanazo bomba....
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Aug 11, 2010 #5 Jaribu hapa Ice Block Making Machine,Ice Block Machines Manufacturer
futikamba JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 243 Reaction score 13 Aug 11, 2010 Thread starter #6 Asanteni wadau, Actually natafuta za kutengenezea ice blocks zile za wavuvi. ngoja nitembelee hizo sites.
Asanteni wadau, Actually natafuta za kutengenezea ice blocks zile za wavuvi. ngoja nitembelee hizo sites.