6.6 percent will put our GDP squarely at seventy-something Billion USD....hehe...$100 Billion here we come....frankly, ni aibu kuwa na GDP ya belowe 100 given our popuation...Singapore has only 2 million people and its has a GDP of $200 Billion plus....by the way, tanzania ni ngapi? CC: Geza Ulole I wont be surprised if it is where we were 5 years ago...hehe
kila kitu na wakati wake....mbona jambo la njaa jambo ndogo sana hilo? hiyo tu ni dam na acre millioni kadhaa ya irrigation kwa sababu hatukubarikiwa na mvua kule North eastern...baada ya hayo njaa kwisha!