Nguvu za asili zikifanya kazi yake!! Wazungu pamoja na science na technologia yao wameshindwa kuzuia adhari za volcano hiyo ya iceland ambayo imesababisha safari za ndege barani ulaya kusimama kwa karibu wiki 1
picha nyingine hizo!
lava ikitupwa juu kabisa kwa nguvu kubwa ya ajabu pamoja na vumbi lake lake ikakutana na gesi za angani na mawingu inatengeneza umeme mkali kuliko bomu la nyuklia