Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Itakuwa majukumu tu yamembana Iceman 3D...kuna watu humu miaka hata mitano hawaonekani ila baadaye wanaonekana...kama yupo mzima atakuja tu.Yaan sijui walimuudhi nini jf
Umemiss matusi yao mkuu?Iceman 3D namkumbuka kule kwenye jukwaa Madrid...kipindi hicho pia wapo wale waliozaliwa wanatukana;padre mcharo,Sergio 5/Alonso14 na yule Mme wenu....Natamani mods wazifungulie tena hizi IDs niendelee kuenjoy sababu zote zina lifeban
Saaana yaani!!!
Umemsahau The List mzee wa empty set, wasted sperm, kitunguu saumu[emoji1]Saaana yaani!!!
Hahaa naye yupo wapi sikuhizi?Umemsahau The List mzee wa empty set, wasted sperm, kitunguu saumu[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado wanapumua watarudi tu
Umemsahau The List mzee wa empty set, wasted sperm, kitunguu saumu[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikizoom Avatar yako , ni macho ya Ex Girl wangu mtoto wa kihaya mwenye mchanganyiko wa nchi za watu.( huyu demu alikua anapenda Sexxx sijapata ona, unapigaaaa usiku kucha bao hata sita ndefu hamlali, lkn mchana yake kama upo home, atakuambia Baby njoooo unipe).
Nmeamua kuisave, nitamtumia ili nayeye aseme kama duniani watu ni wawiliwili au vipi !!!

Huyo mama siku hizi sijui anavuta bangi gani? [emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Hata mimi sijamuona Mama Sabrina mda mrefu sana humu[emoji125][emoji125]
Basi sawa hapo usoni naona mmefanana sana hayo macho . nikajua labda umeitoa IG huko ukaedit edit[emoji9]