ICHEKI ORODHA YA WACHEZAJI WA KITANZANIA WANAOCHEZA NJE YA BONGO

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Nchi ya Tanzania now imepiga hatua kwenye mchezo wa mpira wa miguu tofauti na kipindi cha nyuma nilikuwa naperuzi mtandaoni nikaona orodha ya nyota wa kibongo wanaokipiga majuu ya unaweza kwa sasa unaweza ukaita kikosi kuanzia goli kipa mpaka wa sub wote ni professional icheki hapa.

1.David Kisu (Gor Mahia,Kenya).
2.Hassan kessy(Nkana,Zambia).
3.Nickson Kibabage (El Jadida, Morocco).
4.Abdallah Shaibu (LA Galaxy, Marekani).
5.Abdi Banda (Highlands,Afrika Kusini).
6.Ally Ng'anzi (Minnesota, Marekani).
7.Eliuter Mpepo(Builldcon, Zambia).
8.Maka Edward (FC Teuton, Morrocco).
9.Simoni Msuva (El Jadida, Morrocco).
10.Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji).
11.Dickson Ambundo (Gor Mahia,Kenya)

SUBS:
Manyika Peter,(KCB,Kenya),Eliud Ambokile (TP Mazembe,DR Congo),Haji Mnoga (Portsmouth,Uingereza),Thomas Ulimwengu (JS Soura,Algeria),Yahya Alghasan,Al-wahda,UAE),Adi Yusufu (Blackpool, Uingereza). Ramadhani singano Messi- Tp mazembe.Rashid Mandawa(BdfxI,Botswana)Farid Mussa (Tenerife,Hispania). ............ Dah? Tanzania saizi tuna professional players wengi ila cjui kwann? tunashindwa kuwatumia
.
 
Kuna wengine watatu wako ligi ya Croatia mmoja yuko Qatar ngoja nitafute majina yao.
.
Wanashindwa kuja Tanzania kwa sababu ya sheria yetu ya kutoruhusu uraia pacha wanaona ni kheri wabaki hukohuko
 
Hapo kwa Timu ya Msuva, kuna dogo katoka Mtibwa B kaenda hiyo Timu!
 
Kuna wengine watatu wako ligi ya Croatia mmoja yuko Qatar ngoja nitafute majina yao.
.
Wanashindwa kuja Tanzania kwa sababu ya sheria yetu ya kutoruhusu uraia pacha wanaona ni kheri wabaki hukohuko
Ni sahihi kabisa,
 
Shida ni Ndayiragije anapenda toka Mikia, Azam na KMC.
 
Duh tunakwama wapi sasa wakati tunajua wenzetu wanatupiga bao kwa kutumia wachezaji wanaocheza ligi za nje?
 
Kuna wengine watatu wako ligi ya Croatia mmoja yuko Qatar ngoja nitafute majina yao.
.
Wanashindwa kuja Tanzania kwa sababu ya sheria yetu ya kutoruhusu uraia pacha wanaona ni kheri wabaki hukohuko
na wabaki huko huko bongo watapigwa majungu mwishowe wataacha soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…