kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Sep 5, 2019 #21 Hivi zambia na kenya nako ni nje ya nchi?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Sep 5, 2019 #22 kucheza nje si kigezo cha mchezaji kuitwa timu ya taifa bali ni uwezo wake, ubora wa ligi anayochezea na kama anapata namba kwenye timu tuliona Amunike alivyokuwa anakumbatia wachezaji wa nje huku wengine viwngo vyao ni vya kawaida sana
kucheza nje si kigezo cha mchezaji kuitwa timu ya taifa bali ni uwezo wake, ubora wa ligi anayochezea na kama anapata namba kwenye timu tuliona Amunike alivyokuwa anakumbatia wachezaji wa nje huku wengine viwngo vyao ni vya kawaida sana