Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
Nimeona tujadili hili tatizo la matumizi ya ICT hapa bongo kutokana na experience niliyoiona wakati nafuatilia cheti cha kuzaliwa pale RITA
Nilienda pale RITA kuchukua cheti cha mtoto, nikiwa na karatasi iliyojazwa pale Muhimbili kuhusu taarifa za mtoto.
Nilikuta watu wengi na foleni kubwa, ilivyofika zamu yangu niliikabidhi ile karatasi na kuna mtu akaenda kutafuta uthibitisho kwenye ofisi nyingine, alichukua muda kadhaa zaidi ya nusu saa hivi. Baadaye aliniomba taarifa fulani ambazo baadhi yake tayari tulikwisha zitoa pale Muhimbili mf. majina ya wazazi na tarehe za kuzaliwa nk., ndipo nikaruhusiwa nikaripie na baada ya kumaliza huo mzunguko nikaambiwa niende jtatu inayofuata (baada ya wiki moja) nikachukue cheti. Nilitumia kama masaa matatu pale na niliambiwa kuwa I am luck kwani kuna watu wanatumia muda mrefu zaidi.
Wakati naenda RITA niliambiwa kuwa imeboreshwa sana ukiringanisha na ofisi ya vizazi na vifo ya zamani
1. Tatizo nililoliona pale na ambalo lilikuwepo toka zamani ni kupoteza muda mwingi kufuatilia cheti (siku ya kujaza na kurudi baada ya wiki kufuata cheti)
2. Kulikuwa na malalamishi mengi pale kuwa vyeti vinakosewa (majina, tarehe za kuzaliwa, nk). Mf. niliouona ni kuwa niliulizwa swali ambalo watu wa muhimbili walikuwa wameliandika tayari, yule mwandishi alikosea spelling na nikaomba nimwandikie pembeni
3. Handling ya watu pale (mfanyakazi anayepokea watu pale ndiyo huyohuyo wa kutafuta info kwenye ofisi nyingine hivyo anakuwa na mizunguko mingi na kuwachelewesha watu)
Nilikuwa nilijiuliza yafuatayo
Faida kubwa za ICT ni hasa suala la Synergies and sharing of data kati ya taasisi zinazokusanya data zinazofanana (mf muhimbili na taasisi nyingine kama RITA)
1. Kama watu wa Muhimbili wangejaza zile data kwenye computer database (ICT) ambayo inakuwa accessed na RITA na hata taasisi nyingine
a. kungepunguza sana usumbufu wa kila mara kuulizwa na kunakili swali lilelile. Mf jina, ulizaliwa tar. gani, umri, nk
b. kungepunguza malalamiko ya kukosea vile vyeti
2. Yule anayepokea cheti kutoka muhimbili angekuwa na komputa pale mezani yenye database ingemsaidia kucheck na ku verify yale majina na kuongeza information zinazokosekana na kuprint cheti. Tumeona TRA wana database nzuri mf. unavyoenda kulipia road license unapata printout palepale, huhitaji kuandika taarifa zilezile kila mara na kusubili au kurudi siku nyingine.
Issue hapa ni kwamba ni lini tutaondokana na kutumia mafaili na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi hasa wa kuwapotezea muda? Sababu tunafahamu wazi utafutaji wa document kwenye mafaili ulivyo mgumu na kwanini mtu arudi mara mbilimbili kuja kufuata cheti cha mtoto ambaye tayari kuna taarifa zake kutoka muhimbili?
Ni lini tutaitumia vizuri hii ICT katika kuboresha shughuri zetu na kuokoa muda?
Je RITA na taasisi nyingine watajivuna vipi kuwa wameboresha hizo shughuli zao na hali bado Synergies and sharing of data katika taasisi zinazokusanya data zinazofanana haifanyiki? Maana kutoka kwenye website yao wameandika hivi
"RITA Aim: The Registration Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) aims at effective and efficient management of information on key life events, incorporation of trustees, safeguarding properties under trust, of deceased persons, insolvents, and minors to enable the law to take its course"