incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari Zenu Wazee hakika leo ninayo Masikitiko makubwa sana baada ya kutambua uhalisia wa ulesemo kuwa kila anaeua kwa upanga nae huuwawa kwa upanga vilevile.
Wakuu nimekuwa nikishare na nyie visa na mikasa ya kuwagegeda wake za watu tena bila huruma ...
"Ee Mwenyezi mungu nisamehe sikujua nililokuwa nalitenda kumbe huwa ndio inavyouma ukigugundua mkeo amegegedwa na jamaa..
Asee asikwambie mtu yaani kilichotokea kwangu nilitamani kwenda chooni..haja si haja....
Mkojo si mkojo..
Njaa si njaa...
Yaani nilijikuta Mwili wote umelowa jasho gafla,,,
Tumbo linahisi njaa lakini hata hamu ya chakula hamna,
Asee kweli kama niliowagegedea wake zao nao walijiskia hivi naombeni Mnisamehe 7×70
Na hapa Sijamkuta ile Live ila nimehisi tu kuwa yawezekana ikawa ndio michezo yake...!
Aseeh Yaani Juzi tu nilipokea PM ya Demu huku Jf ...
katika stori za hapa na pale PM tukapanga tuonane ili tuonyeshane ubabe kwenye migegedo,
Jana tumepanga ndio siku ya mechi sasa usiku nikiwa nimelala nawaza namna ya kumpanga dem wangu ili asije geto hyo jana mida ambayo nitakuwa nimeenda kwenye mechi, Mara naona SMS yake "Bby kesho nimeagizwa kijijini kwa bibi kwa hyo nitaondoka hapa hom mida ya mchana,
Nikasema pouwa bby safari njema sikutaka hata maelezo mengine, Mara nikaona tena messege "Bby kwa bibi kijijini hakuna umeme kwa hiyo usishangae ukiona sipo hewani mida ya jioni,
Nikasema Good tu bby usiaji, Sasa siku ya siku imefika, Nimejiandaa naenda kunako sehemu tuliopanga kukutania,,Maana dem mwenyewe tulikubaliana Mawasliano yetu yaishie huko huko PM hatukupeana namba, Maana aliniambia ana mtu na mtu wake huwa anashika simu yake mara kwa mara,
Ile kufika ananiambia amafika akanipa maelekezo ya nguo alizovaa kumchek nakuta ni dem wangu asee nilichoka,
ila kwa kuwa nilikuwa nimeshaagiza vinywaji na rum nimelipia ikabidi tunywe kimya kimya hata bila kuzungumza lolote...Mwisho ikabidi tuingie room kucheza mechi ya ugenini tu.
Na baada ya kutoka pale kila mtu kaishia zake tangu pale hatujawasiliana, Ninaimani utauona uzi huu maana hakuna siri tena,..Naomba tuachane kwa amani.