0123456789
Member
- Jan 1, 2014
- 68
- 8
Ujue kuna ID nyingine ukiziangalia unajisikia kucheka unaweza kujiuliza huyo mwenye ID alikosa ID wakati wa kuchagua au Mimi kuna ID tatu zinazo ni staajabisha nazo ni kakajambazi , kakajambaz JR, na jini mahaba. je wewe ni zipi?