ID gani inakuchekesha zaidi humu jamiiforums

0123456789

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
68
Reaction score
8
Ujue kuna ID nyingine ukiziangalia unajisikia kucheka unaweza kujiuliza huyo mwenye ID alikosa ID wakati wa kuchagua au Mimi kuna ID tatu zinazo ni staajabisha nazo ni kakajambazi , kakajambaz JR, na jini mahaba. je wewe ni zipi?
 
Kuna huyu ndugu anaitwa mkoroshokigori aisee mm nimesomea kilimo lakni darasan sijawahi kufundishwa kama kuna mkorosho ambao ni kigori
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…