ID gani inakuchekesha zaidi humu jamiiforums

Jamani wapi Maleria Sugu?, au ndio alikula ban ya milele, wapi tena Rose1982?
 
Ujue kuna ID nyingine ukiziangalia unajisikia kucheka unaweza kujiuliza huyo mwenye ID alikosa ID wakati wa kuchagua au Mimi kuna ID tatu zinazo ni staajabisha nazo ni kakajambazi , kakajambaz JR, na jini mahaba. je wewe ni zipi?
inamankusweke
Kitombise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…