ID gani ulitamani ujisajili nayo JF ila ikashindikana

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na ukaamue uitumie hii ya sasa?
 
Lucky dube but I was unlucky to that name then I chose Eminem wyne but I am tired to of using these name now I am gonna Change it soon

MR. BROKEN ENGLISH
 
Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na ukaamue uitumie hii ya sasa?
ID yangu haijawahi kutumiwa na mtu mwingine humu, nilipoisajili kwa mara ya kwanza ikakubali.
 
Back
Top Bottom