Id inayojua kutoa uzi ila haichangiagi nyuzi nyingine

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Habari za hapa!!!!!!
Kwa mtazamo wako tangu umejiunga JF hasa MMU ni ID gani inajua kutoa nyuzi nzuri sana zenye maadili kwa jamii hasa MMU na hazijui kuchangia nyuzi za wengine. nitaanza na #lara 1 mwingine!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo ye hawezi kabisa kuchangia nyuzi za wenzie? What does this imply?
 
Hivi nyuzi kama ya "namna ya kumpata mume wa mtu nayo ni ya maadili"?

Anyways, ngoja niende kwenye thread za Tanzania ya viwanda
 
Kuna mtu amaitwa Jamii Jobs, yaani yeye ni kuanzisha tu thread, lakini za wengine hachangii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…