ID ya mwana JF unayo ikubali

sio kwa masifa yote hayo my wiii ulopewa

loooh naona wivu mie , kaka angu yuko wapi? vipi P hajambo?
My wiii kaka yako yupo kazini, na ni mzima wa Afya, na P wetu hajambo.
Amemmiss tuu aunt yake..

Usione wivu my Wii,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama vile naona unavyotamani umtag kaka[emoji23][emoji85][emoji85][emoji85].

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
hahahahah mimi wifi bhana unanichanganya hata sijaelewa kitu hapo...nimeambulia Long live jf.
 
kama ulikuwa kwenye keyboard yangu jaman

nimetamani lakini nikakumbuka sitakiwi nilete ugomvi hapa nikawa mpole
 
hahahahah mimi wifi bhana unanichanganya hata sijaelewa kitu hapo...nimeambulia Long live jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa najiuliza mbona P mkorofi ila sasa nimeshagundua karithi kwa Aunt yake. Jamani mashangazi kwa kutuharibia watoto[emoji23][emoji23]. Hapo wifi nilikuwa namwomba past papers najiandaa na mitihani ya CPA [emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
kama ulikuwa kwenye keyboard yangu jaman

nimetamani lakini nikakumbuka sitakiwi nilete ugomvi hapa nikawa mpole
Nisije nikalala nje mie[emoji23][emoji23].
Kati ya siku ambazo sitakiwi kumuuzi ni Leo maana amewekewa mshahara. Naweza kumpa sababu ya kulala lodge!!![emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Ukiwa super star usitusahau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji47]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hapa nahangaika nitoke. Nimekuja hapa kwa wadau wa JF mnanibeza, hivi kweli ntatoka mie??
 
Hizi emoji hizi. Maana zake we acha tu
 
kama ulikuwa kwenye keyboard yangu jaman

nimetamani lakini nikakumbuka sitakiwi nilete ugomvi hapa nikawa mpole
πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…