ID ya UDOM imeokotwa, anayemfahamu mwenye nayo

ID ya UDOM imeokotwa, anayemfahamu mwenye nayo

Magwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
243
Reaction score
75
THE UNIVERSITY OF DODOMA
STUDENT IDENTITY CARD

Name: MUSSA, Seleman

reg. NO. T/UDOM/2011/04132
Collage: informatics & Virtual Educati
exipiry date; 30/062015

NIMEJARIBU KUPIGA SIMU YA JUU YA ID,, HAIPATIKANI...........
KWA HIYO TAFADHARI
MWAMBIE MWENYEWE ANICHEKI KWENYE 0785-459-058(namba ya MAMA, ndo aliyekiokota)..
KUTUMA POSTA HUWA HAVIFIKI
 
Wazo zuri kutangaza kwamba umeokota kitu. Ila ndugu yangu sikuhizi dunia siyo salama sana nakushauri mwambie mama aliyeokota atoe taarifa polisi kituo kilicho karibu kwamba umeokota hicho kitambulisho sehemu fulani siku fulani na ikae kituo cha polisi badala ya nyie kukaa nayo home. Hofu yangu ni kwamba ukute mwenye hicho kitambulisho alipoteza vitu vingi kama pochi ya pesa na vingine vya thamani na amejeruhiwa na hicho kitambulisho kilikuwa humo ndani na wahalifu walipochukua pesa wakatupa hiyo ID. Sasa ili ikipatikana kweny lazima mtoe maelezo ya ziada na huenda balaa likawaangukia. Hii dunia siyo ile ya enzi ya wazee wetu. Ushauri wa pili ni kwamba mtoe tangazo kwenye makanisa na misimiti ya maeneo ya karibu na ilipookotwa. Say kama ni UDOM basi toeni taarifa uongozi wa cho uweke tangazo notice bord. Ni hayo tu nashauri fikisha ujumbe kwa mama aliyeokota.
 
Ubarikiwe kwa moyo wako wa kujali kitu cha mtu na kutumia muda wako kumsaidia muhusika aliepoteza apate kitu chake
 
Back
Top Bottom