ID zinazoniacha hoi zaidi JF nkizikumbuka huwa nacheka sana

NaAntombe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mtu anajiita Kuduman

Ukiona kwa harakaharaka unaweza kudhani vingine
 
Mkuu ushawafitinisha watu wangapi hadi sasa manake fitna zinaleta ugomvi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko kinyume chake,vipi wewe Mkuu Saratani ya mapafu imefikia hatua ipi[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…