zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Ila kwa shule ambazo nimesoma mm wavulana tulikuwa wengi kuliko wasichanaNadhani shule za sekondari na za msingi zina idadi kubwa ya wasichana kuliko wavulana.Na vyuo vikuu wavulana ndio wengi.
Sikuwahi kupenda msichana nikiwa shule kwasababu wote niliona ni wazuri nikashindwa kuchaguaShule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu.
Maisha tu haya[emoji30][emoji30][emoji30][emoji26]
Pole Sana.Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu.
Maisha tu haya😩😩😩😥
Love jus happens and its unpredictable bana asijali in real life atakuwa sawaPole Sana.
Nn tena Mla BataAiseeee! [emoji848]
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Ni kweli kwasababuShule za primary na sekondari huwa zina wanafunzi wengi wa kiume kuliko wa kike lakini vyuoni kuna wanafunzi wengi wa kike kuliko wa kiume ni sawa au?