Lakini pia nadhani baadhi ya mikoa haina kabisa Majaji, ilipaswa kila mkoa uwe na Majaji lkn bado kuna upungufu mkubwa!
Naamini unapo mtoa jaji Dsm kwenda kuhudumia mkoa mwengine kwa muda ni gharama kubwa sana!
Kunahaja serikali ikateua Majaji wa kutosha ili kukidhi mahitaji na pia kupunguza gharama zisizo za lazima