Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi.
Lakini pia ndicho chama kinachoongoza dola ya Tanzania huku nia, dhamira na mipango yake, ikiwa ni kuwaletea wananchi maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii na kiuchumi katika maeneo yao.
Msifanye makosa.
Chagueni wagombea uongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi uchaguzi wa serikali za mitaa nchi nzima.
Je, wewe ni moja wao, na uko tayari?
Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ni November 27, 2024.🐒
Mungu Ibariki Tanzania