ng'wanishi
Member
- Jan 23, 2012
- 34
- 1
Tangia kuanzishwa kwa kampuni hii ya VIETTEL TANZANIA LTD kumekuwa na ongezeko kubwa sana ya raia wa VIETTNAM hapa Tanzania, Je serikali hailioni hili? Je uhamiaji hawalioni hilo? Imekuwa kero kibwa sana kwani hawa watu ni wengi mno na wanafanya uwekezaji duni kwa kuwanyia fursa watanzania kutokana na idadi yao.
Ndugu zanguni hebu tulitazameni hilo!!
Ndugu zanguni hebu tulitazameni hilo!!